Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 478
- 1,025
Foreigner wamejaa kwenye mifumo yetu ya maamuzi na sasa tunaingia tena kwenye uchaguzi, watia nia wa ''October tunatiki'' tayari wameshaanza kuchukua form za kuomba kuteuliwa. Je watu wa mfumo na usalama mnafuatilia background za kila mchukua form na kumjua vizuri kuhakikisha haturudii makosa au na nyinyi mnashabikia siasa? Kazi ni kwenu sisi ni watazamaji na baada ya kuwapitisha tena sisi tutakuja kuwapa list tu ya watu wasiokuwa watanzania wakiwa ndani ya mfumo.
Kuna watanzania wangapi Wana nafasi za maamuzi nchi Kenya?
Watanzania wangapi Wana nafasi za maamuzi Uganda?
Watanzania wangapi Wana nafasi za maamuzi Burundi?
Watanzania wangapi Wana nafasi za maamuzi Rwanda?
Watanzania wangapi Wana nafasi za maamuzi Congo, Sudan, Ethiopia au Eritrea?
Kama watanzania tumeshindwa kuwachomeka huko sasa inakuwaje sisi turuhusu mifumo yetu kuingiliwa? Maana inafika mahali watanzania wanajiuliza je ni kweli kuwa Tanzania tuna usalama kweli au ni concept tu ambayo haina uhalisia wowote? Kama kweli watu usalama mpo fanyeni kazi yenu kulikombo taifa, mkishindwa kuwatoa wageni kwenye mfumo basi na nyinyi ingizeni vijana wenu wa usalama kwenye hizo nchi nao wafanye ujajusi kwa maslahi ya taifa. Tunahitaji usalama watakaotuletea Data, mifumo, mipango, ubunifu, sayansi, teknolojia na taarifa za siri zitakazotuwezesha kupiga hatua kubwa kiuchumi, kiasiasa na kijamii na siyo mambo ya kuweka vijana wa kupiga doria mtandaoni.