Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TISS, PSU ni mikono, pua, masikio, miguu na misuli ya RaisJana kaja Kamala wote tumeshuhudia Ulinzi imara usio na maonesho. Maonesho yenu ya kubeba mibunduki hadharani hayajaonekana jana. Siku zingine mnazingira Rais kama ni gaidi.
Hata yule mpambe anayevaa magwanda sioni umuhimu wake zaidi ya matumizimabaya ya kodi. Vile vidada vinavyokaa pembeni ya Rais akiwa anahutubia jana havijaonekana popote pale.
Jifunzeni bana
Mmekariri sana
Nendeni pale Hyatt Regency muone gari zinavyosachiwa haijalishi ni ya wapi, hawana cha yule ni mwenzetu, ukifika pale unasachiwa na MBWA afu waruhusiwa pita.
TISS ivunjwe maana imeshindwa msaidia Rais kazi
huna akili.Yaani Mkurugenzi wa usalama wa taifa ambaye ni mtaalamu mwenye elimu ya mambo ya usalama pamoja na Mh. Rais wasilijue hilo ulijue wewe usiye na elimu mambo hayo haiwezekani.
We mjinga.huna akili.
Tanzania bado sana... UJINGA, MARADHI NA UMASKINI moja kati ya haya lipo ndani ya kila mtanzania anayeishi Tanzania..Jana kaja Kamala wote tumeshuhudia Ulinzi imara usio na maonesho. Maonesho yenu ya kubeba mibunduki hadharani hayajaonekana jana. Siku zingine mnazingira Rais kama ni gaidi.
Hata yule mpambe anayevaa magwanda sioni umuhimu wake zaidi ya matumizimabaya ya kodi. Vile vidada vinavyokaa pembeni ya Rais akiwa anahutubia jana havijaonekana popote pale.
Jifunzeni bana
Mmekariri sana
Nendeni pale Hyatt Regency muone gari zinavyosachiwa haijalishi ni ya wapi, hawana cha yule ni mwenzetu, ukifika pale unasachiwa na MBWA afu waruhusiwa pita.
TISS ivunjwe maana imeshindwa msaidia Rais kazi
Mema gani ya nchi mkuu?wanajua kujimwambafai na kutoa tu vitambulisho bar lakini hamna kitu, wewe mpaka mkuu wa nchi anaharibu swaumu yake kwa kutukana watu stupid na wao wapo tu maaneeneer zao , kimsingi ni kakundi kadogo cha wahuni wachache ambao wanafaidi mema ya nchi lakini hawana msaada wowote kwa nchi
Kifupi hakuna TISS uwa nacheka sana utakuta demu anatamba mume wangu TISS wangejua hao TISS baadhi yao wana njaa hasa wale walinda mageti.Hii taasisi iliharibiwa wakati wa mkwere. Halafu ni wezi kishenzi wanaiba sana magari bandarini
Wapo wapumbavu kibao tu huko kwenu TISS.Huyo atakua tapeli, hakuna usalama wa taifa anayejitambulisha bar kwa kutoa kitambulisho we ni muongo.
Heshimu Taasisi na Utaratibu wa Taasisi sawa? Siyo lazima kila lifanywalo na CIA / NSA (Marekani ) basi na TISS ( Tanzania ) nao walifanye au waliige.Jana kaja Kamala wote tumeshuhudia Ulinzi imara usio na maonesho. Maonesho yenu ya kubeba mibunduki hadharani hayajaonekana jana. Siku zingine mnazingira Rais kama ni gaidi.
Hata yule mpambe anayevaa magwanda sioni umuhimu wake zaidi ya matumizimabaya ya kodi. Vile vidada vinavyokaa pembeni ya Rais akiwa anahutubia jana havijaonekana popote pale.
Jifunzeni bana
Mmekariri sana
Nendeni pale Hyatt Regency muone gari zinavyosachiwa haijalishi ni ya wapi, hawana cha yule ni mwenzetu, ukifika pale unasachiwa na MBWA afu waruhusiwa pita.
TISS ivunjwe maana imeshindwa msaidia Rais kazi
Huyo ni askari Polisi si Tiss.Wapo wapumbavu kibao tu huko kwenu TISS.
Kuna mmoja yeye kila siku akija kijiweni na ka bastola kake kazi ni kupiga story mara alikuwa kwenye msafara wa mama.
Anapenda sifa mbele za madem
Where does the pride come from?We are proud of TISS and God blessed you.
Nimesema wajifunzeTISS, PSU ni mikono, pua, masikio, miguu na misuli ya Rais
Hatuwezi kuvunja taasisi zetu nyeti kwa sababu ya ubovu wa watendaji wake.
Tubadilishe mtaala twende na wakati
Hao wengi wao ndo waliwekwa na ndugu zao au UVCCMWapo wapumbavu kibao tu huko kwenu TISS.
Kuna mmoja yeye kila siku akija kijiweni na ka bastola kake kazi ni kupiga story mara alikuwa kwenye msafara wa mama.
Anapenda sifa mbele za mademu.