SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
💥Over to you 🤣🤣🤣🤣🤣 MTiss
😂😂😜🧑💼
Kanitukana sana😂😂😂 back to you!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💥Over to you 🤣🤣🤣🤣🤣 MTiss
Twiga wa nchi waliibwa kwa kupandishwa kwenye ndege ila hao wabobezi wa usalama hawakufahamu kinachoendelea mpaka waliposikia redioni.Kwanza yule ni VC hawezi kuwa na Presidential security level! Angekuwa Biden ungeona tofauti. Lakini pia ingawa ni VC hao walinzi wenye silaha sehemu za public alikuwa nao.
Hivi wewe ukae kwako umeshiba kande ukosoe TISS kuhusu usalama? Ni sawa na ubishane na daktari bingwa (specialist ). Tukabishanie goli la Baleke mambo ya usalama tuache wabobezi.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa Mkuu ngoja tuwaache, maana hata hoja za msingi hawana zaidi ya kufanya comparison kwa mambo ya nje wanayoyaona kirahisi kwa macho wanasahau kuwa kuna wasiyoyaona.Usiwape sifa hawa. Hawana ujuvi wewote zaidi ya Kukejeli na Kuleta dhihaka dhidi ya Mwafrika.
Ukosoaji si sifa sahihi ya kuwapa hawa vibaraka wa mabeberu kwani ukosoaji unahitaji kutumia akili na akili za kuongezea...ni dhahiri hawana hayo au wanajipindisha na kujizimisha kutumia zao na za kuongezea.
Hatusemi mapungufu hayapo kiongozi, na hatukatai kukosoa pale inapohitajika lakini sasa grounds za kutaka mabadiliko inabidi ziwe zina mashiko zisiwe za kwamba eti Marekani wanafanya hivi kwann sisi tusifanye vile, we unajua budget ya marekani ipoje labda kwenye swala la defense, unajua Technological advancement ya marekani ukilinganisha na ya kwetu?....what if wao wana uwezo wa kumlinda raisi au VP from miles away kutoka angani kwa kutumia drones na sisi bado hatuna?, unataka tusiweke watu karibu na raisi ili kuhakikisha usalama wake.Taasisi kuwa zilianzishwa muda mrefu sio sababu ya kutokuwa na mapungufu! In fact moja ya matatizo ya taasisi zetu ni kuwa haziendi na wakati na dio maana they are weak!! The key board warriors are helping to rectify these shortcomings ambazo wazee wamezizoea na hivyo hawazioni.
TISS ilotolewa makucha ya kukamata na kuwa kama police force..tangu 1996...Kabla ya hapo watu walikuwa wanashughurikia straight forward....sasa ni kutoa taarifa na ushauri kwa serikali baada ya kuchakata taarifa mbalimbaliYani Kimsingi hawa jamaa wa TISS nawashangaa kweli unajua kuna kipindi nawaambia naowajua huko tukiwa kijiweni wajaribu kuwa wamechangamka badala ya kuzubaa kama wameachwa na treni imagine TISS wanaojiita watu wenye siri wanashindwa tu kujua sehemu na maeneo zinapofanywa biashara za usagaji na ushoga, au wauza unga? Na wakati zinajulikana kibao hapa Dsm wao utasikia wanapambana na Upinzani. Tiss wanashindwa kufaham watu wanaohujum Taifa leo hii kama hau waliopita na hela za ununuzi wa ndege.TISS wanaoishi kwa kujionesha na kutamba kwa watu sehem za starehe licha ya kuwa hao ni Taasis nyeti?
Acha kuwa na mawazo mgando na wewe, hakuna hata sehemu jamaa kamuingiza Rais na wala hayupo kwenye discussion hii...Wakuu hawa wanatakiwa wabinywe hizo pumbu zao maana wanamkosea heshma Mh.Rais Samia na idara hii nyeti ya serikali japo mambo haya hakuna ila hakuna namna.
Hoja inabidi ijengwe hivi sio kwa namna ambavyo mtoa mada na baadhi ya wachangiaji wanavyofanya, Dhihaka sio ukosoajiAcha kuwa na mawazo mgando na wewe, hakuna hata sehemu jamaa kamuingiza Rais na wala hayupo kwenye discussion hii...
Pili watu wanahaki ya kutoa maoni na kuongea chochote kama lengo ni kujenga....Hivi unajua hata hiyo CIA imevurugwavurugwa mara ngapi..ndo ikafika hapi ilipo..??
Watu wanatarajia na wanaikani na TISS katika kuhakikisha taifa liko salama.
Huwezi ukaongelea usalama wa Taifa wakati kuna issues za:
1.Madawa ya kulevya
2.Mauaji yasiyo na maelezo
3.Watu kupotea na kuuwawa kwenye vituo vya polisi
4.Wizi na upigaji wa mali za Umma usio na maelezo na Action mpaka Rais analalamika hadharani utafikiri hana wasaidizi...
5.Rushwa
Haya yote lazima kuwe na agency nzito inayoweza kuingia kote huko...maana hayo ndo miongoni mwa Vitu vinavyounda -Usalama wa Taifa..
Kama kwa sheria ya sasa...hayo mambo yanafanyika-TISS ipo.inasema haina makucha, why sheria isibadirishwe...??
I think tatizo ni mentality na utamaduni wa vyombo vya ulinzi na usalama-TISS ikiwemo..wamerithi mfumo wa kikoloni-Kulinda serikali ibaki madarakani-ndo mission kubwa...kwao kama serikali iko safe hayo mengine kawaida tu...nafikiri inahitajika reform kubwa sana....
Hahahaha punguza hasira....elewa ujumbeDaima ukosoaji ni kazi rahisi sana ambayo hata mtu dhaifu anaweza kuifanya.pia ww kutokuona kazi/umuhimu wa wale unaowaita "Vidada" haimaanishi huo umuhimu haupo ni vile tu either hujui ila unataka kuonekana mjuaji au ni vile tu hujui alafu hujui kama hujui. ACHENI UJUVI MWINGI MNAHISI MNA AKILI NYINGI KULIKO TAASISI AMBAZO ZIMEWEZA KUSIMAMA KUANZIA WW HAUJAJUA KUANDIKA MPAKA LEO UMEKUA KEYBOARD WORRIOR.
Sent from my SM-G960N using JamiiForums mobile app
Duh....Wapo wapumbavu kibao tu huko kwenu TISS.
Kuna mmoja yeye kila siku akija kijiweni na ka bastola kake kazi ni kupiga story mara alikuwa kwenye msafara wa mama.
Anapenda sifa mbele za mademu.
Duh!!..Wakuu hawa wanatakiwa wabinywe hizo pumbu zao maana wanamkosea heshma Mh.Rais Samia na idara hii nyeti ya serikali japo mambo haya hakuna ila hakuna namna.
Unajua majukumu ya TISS kikatiba?TISS ingekua inafanya kazi yake vizuri, maharamia wengi wa ccm kama wakina MSUKUMA wasingetamba kwa jinsi wanavyohujumu uchumi wa nchi!!! TISS has been politicised na ndio maana enzi ya Kikwete HOME SHOPPING CENTRE walikuwa wanahujumu nchi bila kuthibitiwa!! Kama TISS wangekuwa wanaafnya kazi yao vizuri makontena yaliyokuwa hayalipiwi ushuru yasingepita bure!!!
Ndio nayajua na ndio maana nimesema wangekuwa wanafanya kazi zao kama katiba inavyoainisha!! TISS wanatakiwa kufuatilia na kuzuia uhalifu kutendeka kwa kuwaalifu taasisi husika ili uhalifu usitendeke! Ndio maana wanahusika kwenye kesi za uhaini ambapo Serikali ya nchi inataka kupinduliwa ; na pia wanatakiwa kuhusika na uhalifu wa kuhujumu uchumi wa nchi!!Unajua majukumu ya TISS kikatiba?
Tiss yetu na presidential guard,imejaa watu wa mchongo tu,hawana umaskini,Kuna mmoja ambaye yupo kwenye detail ya PM,amevimba mashavu mpaka yanataka kupasuka,Jana kaja Kamala wote tumeshuhudia Ulinzi imara usio na maonesho. Maonesho yenu ya kubeba mibunduki hadharani hayajaonekana jana. Siku zingine mnazingira Rais kama ni gaidi.
Hata yule mpambe anayevaa magwanda sioni umuhimu wake zaidi ya matumizimabaya ya kodi. Vile vidada vinavyokaa pembeni ya Rais akiwa anahutubia jana havijaonekana popote pale.
Jifunzeni bana
Mmekariri sana
Nendeni pale Hyatt Regency muone gari zinavyosachiwa haijalishi ni ya wapi, hawana cha yule ni mwenzetu, ukifika pale unasachiwa na MBWA afu waruhusiwa pita.
TISS ivunjwe maana imeshindwa msaidia Rais kazi