TISS, PSU Jifunzeni kwa walioendelea

TISS, PSU Jifunzeni kwa walioendelea

Mkuu idara ziwe ngapi? Ilihali hivyo ulivyo taja ni vitengo ndani ya hiyo idara hiyo 1
Idara zaidi ya nne.
Kila moja Mkuu wake atateuliwa na Raisi na ataripoti Moja kwa Moja.

Kwa Sasa inashindwa kutimiza malengo yake kwa asilimia [emoji817].
 
TISS ni ya CCM sio Tanzania. Ndio maana mtu anakopa benki tano tofauti kwa dhamana feki na hajulikani. Tanzania hamna TISS.

TISS ingekua inafanya kazi yake vizuri, maharamia wengi wa ccm kama wakina MSUKUMA wasingetamba kwa jinsi wanavyohujumu uchumi wa nchi!!! TISS has been politicised na ndio maana enzi ya Kikwete HOME SHOPPING CENTRE walikuwa wanahujumu nchi bila kuthibitiwa!! Kama TISS wangekuwa wanaafnya kazi yao vizuri makontena yaliyokuwa hayalipiwi ushuru yasingepita bure!!!
 
Hizo nchi ambazo mnadai tujifunze kwao, kila siku wanaibiwa, watu wanakufa kama kuku mbonabhao tiss wao hawafanyi kazi? Hakuna tiss huko?
Crypto chini
Bunge kuvamiwa chini
Kuna mijitu imeiba fedha za korona huko sio mchezo
Tiss wao walikuwa wapi?

Tusidanganyane

Ukizunguka zunguka mnaona haya ni matuhuma yasiyo na mshiko. Ni kejeli na dhihaka tu.
 
Daima ukosoaji ni kazi rahisi sana ambayo hata mtu dhaifu anaweza kuifanya.pia ww kutokuona kazi/umuhimu wa wale unaowaita "Vidada" haimaanishi huo umuhimu haupo ni vile tu either hujui ila unataka kuonekana mjuaji au ni vile tu hujui alafu hujui kama hujui. ACHENI UJUVI MWINGI MNAHISI MNA AKILI NYINGI KULIKO TAASISI AMBAZO ZIMEWEZA KUSIMAMA KUANZIA WW HAUJAJUA KUANDIKA MPAKA LEO UMEKUA KEYBOARD WORRIOR.

Sent from my SM-G960N using JamiiForums mobile app

Taasisi kuwa zilianzishwa muda mrefu sio sababu ya kutokuwa na mapungufu! In fact moja ya matatizo ya taasisi zetu ni kuwa haziendi na wakati na dio maana they are weak!! The key board warriors are helping to rectify these shortcomings ambazo wazee wamezizoea na hivyo hawazioni.
 
Daima ukosoaji ni kazi rahisi sana ambayo hata mtu dhaifu anaweza kuifanya.pia ww kutokuona kazi/umuhimu wa wale unaowaita "Vidada" haimaanishi huo umuhimu haupo ni vile tu either hujui ila unataka kuonekana mjuaji au ni vile tu hujui alafu hujui kama hujui. ACHENI UJUVI MWINGI MNAHISI MNA AKILI NYINGI KULIKO TAASISI AMBAZO ZIMEWEZA KUSIMAMA KUANZIA WW HAUJAJUA KUANDIKA MPAKA LEO UMEKUA KEYBOARD WORRIOR.

Sent from my SM-G960N using JamiiForums mobile app
Usiwape sifa hawa. Hawana ujuvi wewote zaidi ya Kukejeli na Kuleta dhihaka dhidi ya Mwafrika.
Ukosoaji si sifa sahihi ya kuwapa hawa vibaraka wa mabeberu kwani ukosoaji unahitaji kutumia akili na akili za kuongezea...ni dhahiri hawana hayo au wanajipindisha na kujizimisha kutumia zao na za kuongezea.
 
Juzi hapa FSB wamekamata watu kwa tuhuma za uhujumu wa nchi.
TISS wao haijulikana wanafanya kazi gani
Wapo wapo tu.

Wakivaa yale mabunduki wanajiona watu mno
Kazi yao kubwa ni kusaidia kuiba kama ripoti ya CAG inavyotoa uozo.
 
Hizo nchi ambazo mnadai tujifunze kwao, kila siku wanaibiwa, watu wanakufa kama kuku mbonabhao tiss wao hawafanyi kazi? Hakuna tiss huko?
Crypto chini
Bunge kuvamiwa chini
Kuna mijitu imeiba fedha za korona huko sio mchezo
Tiss wao walikuwa wapi?

Tusidanganyane

Ukizunguka zunguka mnaona haya ni matuhuma yasiyo na mshiko. Ni kejeli na dhihaka tu.
Mtiss anahisi Kawa offended.
 
Mtiss anahisi Kawa offended.
Umeona ehhh!
Umekosea tu unaposema nahisi.

Wajibie na hoja basi badala ya kuendeleza kejeli na dhihaka, au uendelee kubwaka

Aluta Continua.
 
Hahahhhaaahahhh TISS hawa watoto wa vigogo!! TISS hawa wanaolinda na kushiriki kuiba kura ili CCM ibaki madarakani ama TISS hawa walioshiriki kuiba hela za EPA! Kifupi TISS hii inabidi ifumuliwe yote. Na vijana wengi wa TISS wana UKWASI wa kutisha tofauti na zamani ambapo vichaa wengi walionekana USALAMA. Mtafute Dkt. Slaa anamajibu ya TISS.
Duh

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom