TISS, PSU Jifunzeni kwa walioendelea

TISS, PSU Jifunzeni kwa walioendelea

Wapo wapumbavu kibao tu huko kwenu TISS.

Kuna mmoja yeye kila siku akija kijiweni na ka bastola kake kazi ni kupiga story mara alikuwa kwenye msafara wa mama.

Anapenda sifa mbele za mademu.
Huyo anayejisifu wewe ukiwa na hela muonyeshe burungutu na minoti tu mbona utampa kichaa.
 
Kingine PSU iweje wakubali Rais kutembea na msafara mrefu?
Rais wa Marekani msafara wake sio mrefu kama wa Rais wa nchi omba omba
Uongo huo, ulishawahi fika marekani ukaona msafara wa Biden. Hebu angalia hata youtube banaaa
 
Sasa unamlingamisha Biden na Samia?
Biden mara nyingi hutumia ndege au Helicopters
 
Hili nimewahi kuliwaza pia linaweza kutokea,FFU mmoja akavurugwa chuma ikafyatuka usawa wa mtu ni hatari,wale wanatakiwa wawepo ila warespond tu linapotokea jambo,ndivyo na wenzetu hufanya hivyo.
Ipo siku mtu atatolea makasiriko yake
 
Kingine PSU iweje wakubali Rais kutembea na msafara mrefu?
Rais wa Marekani msafara wake sio mrefu kama wa Rais wa nchi omba omba
Nani kakudanganya msafara wa Raisi wa Marekani ni very expensive na mrefu ..tu
 
Daima ukosoaji ni kazi rahisi sana ambayo hata mtu dhaifu anaweza kuifanya.pia ww kutokuona kazi/umuhimu wa wale unaowaita "Vidada" haimaanishi huo umuhimu haupo ni vile tu either hujui ila unataka kuonekana mjuaji au ni vile tu hujui alafu hujui kama hujui. ACHENI UJUVI MWINGI MNAHISI MNA AKILI NYINGI KULIKO TAASISI AMBAZO ZIMEWEZA KUSIMAMA KUANZIA WW HAUJAJUA KUANDIKA MPAKA LEO UMEKUA KEYBOARD WORRIOR.

Sent from my SM-G960N using JamiiForums mobile app
Juzi juzi Mhe rais kasema kuna taasisi tokea yeye akiwa mdogo anazisikia lakini utendaji wake hauna tija na ni bora zifutwe tuu, ulimsikia?
 
Kwanza ianzishwe idara ya usalama wa Viongozi ( secret service) hawa wajitegemee kila kitu ikiwa hadi mfumo wa recruitment uwe tofauti na Sasa.
Kifupi hawataajili Moja kwa Moja Bali watachukua Vijana Bora ambao wapo tayari kwenye majeshi ili kulinda viongozi na lisiwe jeshi Moja na kigezo kiwe merits zao huko walipotoka yaani hadi special force na komando wenye sifa wachukuliwe.

Pili ianzishwe idara ya ujasusi kikiwemo kitengo Cha Financial intelligence unit kiwe ndani yao hawa watahusika kuangalia interest za nchi zilizopo nje na ndani na washindani wetu wanafanya nini na jinsi ya kuwakabili.

Tatu ibakie hii ya Sasa ikifanyiwa marekebisho ya kimuundo na wenyewe watahusika maswala ya ujasusi ndani ya nchi tu.

Nne lianzishwe shirika la kiupelelezi na kijasusi litakalo counter kuangalia hayo mashirika yanafanya nini na lenyewe lichukue hatua.

N.B faida yake kutakuwa na competition ili kila mmoja aonekane bora.
 
Zimefutwa tayari?? Au ndio it’s a Process…
 
Yaani naona hilo ndo lengo lao.
PSU wanafukuza watu hata wasiangalie kinachoendelea.
Nchi nyingine wananchi wanamchungulia Rais wao sababu wamejipanga
Wanajua nchi ina vijana wa hovyo, uchungulie kinacho endelea ili iwe iweje. Vijana hamchelewi rusha viatu. Rais wa ufaransa two times imemtokea ishu kama hiyo
 
Kwanza ianzishwe idara ya usalama wa Viongozi ( secret service) hawa wajitegemee kila kitu ikiwa hadi mfumo wa recruitment uwe tofauti na Sasa.
Kifupi hawataajili Moja kwa Moja Bali watachukua Vijana Bora ambao wapo tayari kwenye majeshi ili kulinda viongozi na lisiwe jeshi Moja na kigezo kiwe merits zao huko walipotoka yaani hadi special force na komando wenye sifa wachukuliwe.

Pili ianzishwe idara ya ujasusi kikiwemo kitengo Cha Financial intelligence unit kiwe ndani yao hawa watahusika kuangalia interest za nchi zilizopo nje na ndani na washindani wetu wanafanya nini na jinsi ya kuwakabili.

Tatu ibakie hii ya Sasa ikifanyiwa marekebisho ya kimuundo na wenyewe watahusika maswala ya ujasusi ndani ya nchi tu.

Nne lianzishwe shirika la kiupelelezi na kijasusi litakalo counter kuangalia hayo mashirika yanafanya nini na lenyewe lichukue hatua.

N.B faida yake kutakuwa na competition ili kila mmoja aonekane bora.
Mkuu idara ziwe ngapi? Ilihali hivyo ulivyo taja ni vitengo ndani ya hiyo idara hiyo 1
 
Jana kaja Kamala wote tumeshuhudia Ulinzi imara usio na maonesho. Maonesho yenu ya kubeba mibunduki hadharani hayajaonekana jana. Siku zingine mnazingira Rais kama ni gaidi.

Hata yule mpambe anayevaa magwanda sioni umuhimu wake zaidi ya matumizimabaya ya kodi. Vile vidada vinavyokaa pembeni ya Rais akiwa anahutubia jana havijaonekana popote pale.

Jifunzeni bana
Mmekariri sana

Nendeni pale Hyatt Regency muone gari zinavyosachiwa haijalishi ni ya wapi, hawana cha yule ni mwenzetu, ukifika pale unasachiwa na MBWA afu waruhusiwa pita.

TISS ivunjwe maana imeshindwa msaidia Rais kazi
Kwanza yule ni VC hawezi kuwa na Presidential security level! Angekuwa Biden ungeona tofauti. Lakini pia ingawa ni VC hao walinzi wenye silaha sehemu za public alikuwa nao.

Hivi wewe ukae kwako umeshiba kande ukosoe TISS kuhusu usalama? Ni sawa na ubishane na daktari bingwa (specialist ). Tukabishanie goli la Baleke mambo ya usalama tuache wabobezi.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Sahihi kabisa, issue nyingine tuache zipite tu
 
Wapo wapumbavu kibao tu huko kwenu TISS.

Kuna mmoja yeye kila siku akija kijiweni na ka bastola kake kazi ni kupiga story mara alikuwa kwenye msafara wa mama.

Anapenda sifa mbele za mademu.
Kuna mwingine Jana tu kaja bar na vipikipiki vyekundu walivyopata anasema mm usalama nikamwangalia alivyochoka
 
Back
Top Bottom