TISS, PSU Jifunzeni kwa walioendelea

TISS, PSU ni mikono, pua, masikio, miguu na misuli ya Rais

Hatuwezi kuvunja taasisi zetu nyeti kwa sababu ya ubovu wa watendaji wake.

Tubadilishe mtaala twende na wakati
 
Tanzania bado sana... UJINGA, MARADHI NA UMASKINI moja kati ya haya lipo ndani ya kila mtanzania anayeishi Tanzania..
 
Mema gani ya nchi mkuu?

Hawa tulionao mtaani ambao wapo huko njaa kali kama watumishi wengine tu.

Wale wa ngazi ya juu ndo wanakula ila hawa wa huku chini ni kama mtumishi mwingine anahangaikia mshahara hadi mshahara.

Yupo jamaa yupo huko unakosema kuna mema ya nchi huwa anakwama mara nyingi kumlipia ada mdogo wake anayesoma chuo nampiga tafu mara nyingi tu ndo kamshahara akipata ananilipa kwa awamu.

Watu mnakariri mnavyodanganyana huko vijiweni ila ukweli ni kwamba hawana chochote kwa tunaowajua maana tuna ndugu huko.
 
Heshimu Taasisi na Utaratibu wa Taasisi sawa? Siyo lazima kila lifanywalo na CIA / NSA (Marekani ) basi na TISS ( Tanzania ) nao walifanye au waliige.

Binafsi ( GENTAMYCINE ) nimebahatika Kukaa ( kuwa karibu ) na Walinzi wa baadhi ya Marais wa Ukanda wetu huu ( Kale Kayihura aliyekuwa CIG: wa Uganda ila kabla alikuwa Mlmoja wa Walinzi PPU wa Rais Museveni na Marehemu Noble Mayombo aliyekuwa CMI wa Uganda na aliyewahi pia kuwa ADC wa Rais Museveni ) achilia mbali wa Rais Kagame na wa Hayati Mzee Kabila ( Laureant Kabila ) na Sifa pekee niliyoisikia kutoka Kwao kuhusu TISS na hasa hasa PSU ni kwamba wako vizuri na Wameiva mno Kimedani.

PSU ndiyo blueprint ya Vikosi vingi vya Ulinzi wa Marais katika nchi nyingi za Ukanda huu ikiwemo na Msumbiji na nyinginezo.

Acheni Kudharau vya Kwenu TZ Oky?
 
We are proud of TISS and God blessed you.
Where does the pride come from?
TISS has completely failed to lead our country into prosperity.
TISS's main objective is gathering of information, assessing and reporting, they should have found out about the miscellenious and report to the sponsor, if the law is the problem they should address the issue and the law be changed to meet the current needs

We can not be controlled by the 1996s law in 2023, in the age of AI, 5G


Their recruitment is worse
 
TISS, PSU ni mikono, pua, masikio, miguu na misuli ya Rais

Hatuwezi kuvunja taasisi zetu nyeti kwa sababu ya ubovu wa watendaji wake.

Tubadilishe mtaala twende na wakati
Nimesema wajifunze

Hata TISS ikivunjwa bado watendaji wake wataendelea na Viapo vyao.

Tuko 2023 iweje tutumie sheria za 1996?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…