The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
TISS KAZI YAO NI KUSHINDANA NANI KAFUA BIKINI 👙KWA USTADI ZIKATAKATA ZILIVYO 😁Sasa Hapo TISS imefuata nni kwa heading
Nimependa jibu lako kwake ..kuelewa ameelewa ila sasa ..Ndio mkuu. Kama ilivyo sheli, Marlborough, Toyo, mfuko wa rambo, sado na take away.
Nyau de adriz Nyangwisi
Ameweka neno Tiss ili watanzania waelewe vizuriKwahiyo we umekariri kila idara ya usalama inaitwa TISS
Umejuaje kama anataka kua rais wa maisha? Hana hata miaka 3 madarakani, kule Indonesia yule mama hataki hata uchaguzi, anataka ajiteue kua raisi kwa miaka mingine na hamsemi!Huyo siku yake bado lakini inakuja na haiko mbali. Huyo kijana ana kiu ya kutawala tu na inavyoonekana anataka awe rais wa maisha kitu ambacho kwa dunia ya sasa haitawezekana.
Hukua na haja ya kutaja TISS hapo ungesema ANR basi au ungetafasiri ANR tu lakini mi binafsi nimekuelewa kwann umeitaja hapa hiyo TISS haya bana kunywa maji kwanzaIdara ya usalama ya Burkina Faso ANR ndio Bora kuliko idara za usalama Africa.
Idara Hiyo chini ya bwana mdogo the son of Africa Ibrahim Traure imeweza kuzuia mapinduzi dhidi ya Traoure Kwa ustadi na mbinu ya aina Yake Kwa kufichua mbinu ovu za CIA, Mi6 pamoja na ufaransa na kuzuia kumwangamiza kijana wetu Ibrahimu.
Nyau de adriz