Titanic II

Na prison break season 7 imetoka ni moto wa kuotea mbali mtoto wa Scofield na Sarah kawa mkubwa yupo kwenye mission ya kumtorosha dingi wake kwenye gereza la Urusi..

Acheni kasababisha Taharuki
 
Wanafanya watu tuzame netnaija kwa speed ya 5g
 
Na prison break season 7 imetoka ni moto wa kuotea mbali mtoto wa Scofield na Sarah kawa mkubwa yupo kwenye mission ya kumtorosha dingi wake kwenye gereza la Urusi..

Acheni kasababisha Taharuki
Ahahahahahahah
Tuache kusababisha taharuki ipi tena mkuu ahahah daaah...

Sema prison break hili dude huwa narudiaga aiseeeee..

Huyo dogo wa scofid nae ni mtalam kama dingi wake au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ