Habari wana jamii jukwaa hili limekuwa kisima cha mambo mengi nawashukuru wote unaochangia kwa ustarabu nafikiri tukiendelea kuweka mambo vizuri tutafika mbali napenda kujua hizi title za humu ndani zinapatikanaje utakuta kuna verified user, Plantium member, Gold na nyinginezo nilikuwa napenda kujua hizi mtu anapataje. Ahsante