Title za humu jamvini zinapatikanaje

Title za humu jamvini zinapatikanaje

Nyumbalao

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
494
Reaction score
522
Habari wana jamii jukwaa hili limekuwa kisima cha mambo mengi nawashukuru wote unaochangia kwa ustarabu nafikiri tukiendelea kuweka mambo vizuri tutafika mbali napenda kujua hizi title za humu ndani zinapatikanaje utakuta kuna verified user, Plantium member, Gold na nyinginezo nilikuwa napenda kujua hizi mtu anapataje. Ahsante
 
Hebu nifafanulie! Hizo zakupewa inakuaje mpaka unapewa!?
 
.........................utakuta kuna verified user
  • Tuma copy ya kitambulisho chako chochote kwenye hii email | support@jamiiforums.com
  • Bainisha user ID yako ambayo ungependa iwe verified, kwa wewe ni Nyumbalao
.............Plantium member, Gold
KARIBU

Habari wana jamii jukwaa hili limekuwa kisima cha mambo mengi nawashukuru wote unaochangia kwa ustarabu nafikiri tukiendelea kuweka mambo vizuri tutafika mbali napenda kujua hizi title za humu ndani zinapatikanaje utakuta kuna verified user, Plantium member, Gold na nyinginezo nilikuwa napenda kujua hizi mtu anapataje. Ahsante
 
Wewe unataka Title gani?
na una shilling ngapi nikufanyie mchongo mchongo??
 
Back
Top Bottom