Pre GE2025 Tito Magoti: Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
1,353
Reaction score
3,060
Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.

Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.

Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.

Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi.

FAM is clearly terrorising party electoral process.
IMG_20250120_122823.jpg
 
Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.

Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.

Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.

Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi.

FAM is clearly terrorising party electoral process.View attachment 3207227
Mnafiki wewe una mandate kuipangia CDM utendaji wake?

Kwanza wewe sio mwa achana wa CDM.

Kesho hakuna room kwa wafanya fujo.
 
Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.

Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.

Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.

Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi.

FAM is clearly terrorising party electoral process.View attachment 3207227
baada ya Uchaguzi nadhani taarifa kamili itatolewa gentleman 🐒
 
Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.

Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.

Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.

Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi.

FAM is clearly terrorising party electoral process.View attachment 3207227
Inawezekana hawalipwi na chama anawalipa FAM
 
LazIma wahuni wadhibitiwe - asante sana Mwenyekiti.
Si wanataka uchaguzi huru na haki, Ulinzi ni jambo muhimu.

Muhuni yeyote ni tanganyika jeki moja kwa moja selo, atawekewa dhamana na mkewe tarehe 22.
 
Tito naye ashaanza kuleta mambo ya kigasho...alisikia kauli za Lema alivyosema wanachama TZ nzima wajitokeze mlimani city ,lengo lao ni kwend kufanya vurugu.
 
Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.

Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.

Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.

Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi.

FAM is clearly terrorising party electoral process.View attachment 3207227
Mtu una terrorise vipi Party electoral process?

Amandla...
 
Tito naye ashaanza kuleta mambo ya kigasho...alisikia kauli za Lema alivyosema wanachama TZ nzima wajitokeze mlimani city ,lengo lao ni kwend kufanya vurugu.
Inshu siyo wali, inshu ni utaratibu, vipi lissu nae akiamua alete kampuni ya ulinzi hapo?
 
Back
Top Bottom