Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisaRushwa hupofusha akili, huharibu ufahamu.
MBOWE MUST GO.Hao wajinga jinga wa mitandaoni wanapiga tu Makele wakati hata siyo wapiga kura.
Bahati mbaya sana kwa watu waliokuwa na matumaini na kuiamini CDM. Hapo nyuma watu waliikubali na ilileta matumaini kwa watanzania wapenda mageuzi. Lakini leo hii uchaguzi wa sasa umeiacha CDM katika sintofahamu. Wanachama na wapenzi wa chama hiki wamebaki kwenye dilema wakiangalia jahazi likienda mrama. Ni dhahiri kwa matokeo yoyote Chadema haitakuwa na nguvu iliyozoeleka!Swali:
Chaguzi nyingine zote za nyuma zililindwa hivi au ni dalili ya ujanja ujanja na uoga wa mabadiliko?
Linang'ang'ania madaraka, tumelichoka lakini wapi limo tu...Mungu ainglie kati ugomvi!.Mbowe mshipa wa aibu umekata
😀😀😀 Mungu akiingilia kati ni maziko, akae pembeni mwenyeweLinang'ang'ania madaraka, tumelichoka lakini wapi limo tu...Mungu ainglie kati ugomvi!.