Pre GE2025 Tito Magoti: Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CHADEMA

Pre GE2025 Tito Magoti: Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mnafiki wewe una mandate kuipangia CDM utendaji wake?

Kwanza wewe sio mwa achana wa CDM.

Kesho hakuna room kwa wafanya fujo.
We mwenyewe magumashi na mnafiki tu, Mbowe hakubaliki kwa lolote lile
 
Kama wajumbe wakimchagua Mbowe mtu ambaye ameungana na watesi wetu wa muda wote wajue damu za watu hawa zitakuwa juu ya vichwa vyao milele.
 

Attachments

  • FB_IMG_1737358302587.jpg
    FB_IMG_1737358302587.jpg
    43.6 KB · Views: 2
  • IMG_5035.jpeg
    IMG_5035.jpeg
    84.4 KB · Views: 2
Kama wajumbe wakimchagua Mbowe mtu ambaye ameungana na watesi wetu wa muda wote wajue damu za watu hawa zitakuwa juu ya vichwa vyao milele
 
Mbowe usijeachia chama kijinga kikaoshia mikononi mwa wahuni wanaotaka vita bila maridhiano.
Bora chama kibaki na wanachama watu wenyeshida wakaanzishe lichama lao la mavurugu.
Hiking ni chama cha demokrasia na maendeleo sio domo-ghasia na matukaniyo
 
Mnafiki wewe una mandate kuipangia CDM utendaji wake?

Kwanza wewe sio mwa achana wa CDM.

Kesho hakuna room kwa wafanya fujo.
Mbowe ni tatizo cdm, alishafika bei
 
Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.

Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.

Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.

Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi.

FAM is clearly terrorising party electoral process.View attachment 3207227
Halafu huyu mara yupo Kenya analeta propaganda Tanzania
 
Sioni kama kutakuwa na uchaguzi huru, chama kiko compromised as we speak.

Pesa na chama cha majizi wanamanipulate uchaguzi kupitia Mbowe .
 
LazIma wahuni wadhibitiwe - asante sana Mwenyekiti.
Si wanataka uchaguzi huru na haki, Ulinzi ni jambo muhimu.

Muhuni yeyote ni tanganyika jeki moja kwa moja selo, atawekewa dhamana na mkewe tarehe 22.
Nini majukumu ya hamasa
 
Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.

Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.

Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.

Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi.

FAM is clearly terrorising party electoral process.View attachment 3207227
Mtaisoma namba pumbavu zenu. Yaani uzaliwe sweken Ikungi halafu uje ushinde FAM aliyezaliwa Ocean Road
 
Tito naye ashaanza kuleta mambo ya kigasho...alisikia kauli za Lema alivyosema wanachama TZ nzima wajitokeze mlimani city ,lengo lao ni kwend kufanya vurugu.
Tanzania nzima ya nini huku tu vijana wa kutoka tena mkoa mmoja wamefanikiwa kuwadhibiti wahuni wa Mbowe wote hadi akaamua kuishirikisha rafikize polisi
 
Kiutaratibu, Mbowe na Lisu, kwa vile wote ni wagombea, hawakustahili kujishughulisha na maandalizi wala taratibu za kusimamia uchaguzi. Hiwezi kuwa mhombea halafu unashughulika na usimamizi wa uchaguzi.
 
Kwa mara ya kwanza, Mbowe anakutana na ushindani kwenye nafasi ambayo aliamini kuwa ni ya kifalme, isiyostahili kuguswa na mwingine yeyote. Ushindani wa safari hii umemwondoa kwenye mstari.
 
Back
Top Bottom