Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Mnafiki wewe una mandate kuipangia CDM utendaji wake?Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.
Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.
Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.
Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi.
FAM is clearly terrorising party electoral process.View attachment 3207227
Hao wajinga jinga wa mitandaoni wanapiga tu Makele wakati hata siyo wapiga kura.Hahahahah Leo mbowe anaonekana mbaya kweli kweli kwa kila atakachokifanya
Cc
Lucas Mwashambwa mwamba tuvushe
Anafanya nje ya utaratibuHahahahah Leo mbowe anaonekana mbaya kweli kweli kwa kila atakachokifanya
Cc
Lucas Mwashambwa mwamba tuvushe
baada ya Uchaguzi nadhani taarifa kamili itatolewa gentleman 🐒Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.
Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.
Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.
Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi.
FAM is clearly terrorising party electoral process.View attachment 3207227
Mbowe mshipa wa aibu umekataSiasa bana
Ova
Inawezekana hawalipwi na chama anawalipa FAMFreeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.
Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.
Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.
Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi.
FAM is clearly terrorising party electoral process.View attachment 3207227
Aza kujipanga ki saikologia - una muda mchache saana.Twende na LISSU
Mtu una terrorise vipi Party electoral process?Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.
Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.
Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.
Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi.
FAM is clearly terrorising party electoral process.View attachment 3207227
Inshu siyo wali, inshu ni utaratibu, vipi lissu nae akiamua alete kampuni ya ulinzi hapo?Tito naye ashaanza kuleta mambo ya kigasho...alisikia kauli za Lema alivyosema wanachama TZ nzima wajitokeze mlimani city ,lengo lao ni kwend kufanya vurugu.
BaasiTwende na LISSU