Vipi kama na yeye ana hofu ya wizi wa kura ndio maana amekodi hiyo kampuni!?Na vipi katiba inasemaje kuhusu hili!? Kama hakuna Sheria yoyote ya kumzuia mbowe kukidhi kampuni hiyo ya ulinzi bas ni kazi bure kuhoji kuwa anachofanya sio sahihi.
Watanganyika WAZALENDO wenye mapenzi mema na taifa letu bila kujali itikadi zetu / kwa maslahi mapana ya taifa wote kwa ujumla/ umoja wetu tunamtakia USHINDI wa kimbunga mh. TUNDU LISU.
Bahati mbaya sana kwa watu waliokuwa na matumaini na kuiamini CDM. Hapo nyuma watu waliikubali na ilileta matumaini kwa watanzania wapenda mageuzi. Lakini leo hii uchaguzi wa sasa umeiacha CDM katika sintofahamu. Wanachama na wapenzi wa chama hiki wamebaki kwenye dilema wakiangalia jahazi likienda mrama. Ni dhahiri kwa matokeo yoyote Chadema haitakuwa na nguvu iliyozoeleka!