TITO MAGOTI kufunguliwa kesi ya kutakatisha fedha na Uhujumu uchumi ??

TITO MAGOTI kufunguliwa kesi ya kutakatisha fedha na Uhujumu uchumi ??

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Kama ilivyokawaida kwa serikali kandamizi ya Tanzania kukandamiza haki na uhuru wa kujieleza leo watu wasiojulikana baada ya kumchukua Tito Magoti na baadae kujulikana kua yuko na Polisi wakimhoji na ni siku chache tu baada ya Tito kuhoji kuhusu Bodi ya Mikopo kutowapa pesa wanafunzi wa Elimu ya juu na kuwafukuza chuo viongozi wa wanafunzi hao walio hoji, je tutegemee Tito kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi au Utakatishaji wa fedha ?? Kesi ambayo kila mtanzania anaweza funguliwa na akafungwa !!
 
Wangapi wamehoji hawajakamatwa mkuu? Huenda kuna cha zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi za Afrika kuihoji serekali uliyoiweka madarakani ni kosa la kutakatisha fedha!Wazungu walikuwa wanatuuza masokoni kama nyanya enzi za utumwa kwa sababu waligundua mapema kuwa sisi siyo binadamu kamili!
 
Mambo sasa huyu ni mweupe sana ningekuwa mimi angelala yeye Lupango, mimi nalala l kwake anasafisha mtondoo na sehemu nitakapo kaa! asubuhi nawahi!

Tatizo mnatakatisha kichoyo choyo hamtaki kutushirikisha! wenye tuliovuviwa nguvu za ajabu! huwezi kubalikiwa yote! leo!
 
Bora uwe dikteta kamili kuliko kuwa dikteta uchwara!
 
Nchi za Afrika kuihoji serekali uliyoiweka madarakani ni kosa la kutakatisha fedha!Wazungu walikuwa wanatuuza masokoni kama nyanya enzi za utumwa kwa sababu waligundua mapema kuwa sisi siyo binadamu kamili!
Tena tuliuzwa na ndugu zetu kabisaaa! kama leo hii kina kabendela, Magoti jiwe angewauza mapemaa! kwa maspaniora! ili wakafe njaa jamaica!

Wengine wote tungeuzwa USA, UK hapa wangebaki kina BASHIITE!

Akikutengua tu jiandae kuwa nyapara wa watumwa wake!
 
Hizo sheria tuliletewa na wakubwa ili zitumike kudhibiti ugaidi. Sasa ndio tunazitumia kukomoana sisi kwa sisi. Ndiyo UZALENDO wetu huo. Marehemu Lucky Dube aliwahi kusema......... The enemy will stand aside and look,while we slaughter our own brother........ Tuombe MUNGU tu
 
Back
Top Bottom