Wangapi wamehoji hawajakamatwa mkuu? Huenda kuna cha zaidi.Kama ilivyokawaida kwa serikali kandamizi ya Tanzania kukandamiza haki na uhuru wa kujieleza leo watu wasiojulikana baada ya kumchukua Tito Magoti na baadae kujulikana kua yuko na Polisi wakimhoji na ni siku chache tu baada ya Tito kuhoji kuhusu Bodi ya Mikopo kutowapa pesa wanafunzi wa Elimu ya juu na kuwafukuza chuo viongozi wa wanafunzi hao walio hoji, je tutegemee Tito kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi au Utakatishaji wa fedha ?? Kesi ambayo kila mtanzania anaweza funguliwa na akafungwa !!
Tena tuliuzwa na ndugu zetu kabisaaa! kama leo hii kina kabendela, Magoti jiwe angewauza mapemaa! kwa maspaniora! ili wakafe njaa jamaica!Nchi za Afrika kuihoji serekali uliyoiweka madarakani ni kosa la kutakatisha fedha!Wazungu walikuwa wanatuuza masokoni kama nyanya enzi za utumwa kwa sababu waligundua mapema kuwa sisi siyo binadamu kamili!