Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
kwahiyo wewe umeshamkuta na hatia au vipi?!Tito Magoti....
Hii sura sio ngeni kwangu....hope amemaliza Mzumbe huyu jamaa tena roommate wa mshkaji fulani.
Ila alikuwa kimya saana kumbe...maisha ya shule sio mara zote yanakutabiri utakuaje mtaani.
mbona umepanic sana????
Abdul Nondo jana kawashinda mahakamni kwa mara ya pili.
tatizo nyingine zina dhamana, wao wanataka ambayo haina dhamana ukae jela mpk waridhike, ila Mungu yupo, atawapigania watu wake.Hakuna kesi nyingine zaidi ya utakatishaji pesa na uhujumu uchumi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo bize na kigogo sisi tupo viporoKosoa ubinywe mbupu... Tena unabinywa kwaajili ya hawa watanzania mambo leo?
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo nyingine zina dhamana, wao wanataka ambayo haina dhamana ukae jela mpk waridhike, ila Mungu yupo, atawapigania watu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi kesi mbili kwa hii awamu tushazizoea.
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu
Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani
Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.
====
UPDATE:
View attachment 1302260
View attachment 1302258View attachment 1302259
Kumbe kuna wengine mmewaua mkuu?? Nilikuwa sijui
Kama unavyolipa wewe sasa hivi? Na utaendelea kulipa mpaka kifo chako usaliti hata Mungu hautaki.
Kweli huko uchagani ni sawa. Watoto huhamasishwa kutafuta pesa hata kwa njia haramu.
Stop this nonsense, lazima kupaza sauti! Muda utakuja lini?
Nilikuwa namjibu huyo ndugu yako
Mungu wangu ninaye muamini namjue sana tu.
Ndie anayekutuma ushangilie wengine wakinyanyaswa sababu ya kukosoaMungu wangu ninaye muamini namjue sana tu.
Umemjibu KIKABILA ,, mana ume refer wachaga, kwahio wewe ni MKABILANilikuwa namjibu huyo ndugu yako
Mbogo...mpe neno tu.
Ni wapumbavu kama alitengeneza program na inaingza pesa c Ndo tunachotak vijana wajiajiri mbona hawaeleweki hii gvmnt dah unaeza taman mungu aje atuhukumu tuSijaelewa hizo chaji yaani feb 2019 mpaka dec 2019 alitengeneza program ya computer yenye thamani ya 17m?