Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

tatizo nyingine zina dhamana, wao wanataka ambayo haina dhamana ukae jela mpk waridhike, ila Mungu yupo, atawapigania watu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwenyezi Mungu yupo kwa kila mtu Mwizi, Jambazi na wale wote wanaofanya mapenzi mema kwa viumbe wake hapa duniani.
 

Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu

Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani

Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.

====
UPDATE:

View attachment 1302260

View attachment 1302258View attachment 1302259
Hizi kesi mbili kwa hii awamu tushazizoea.
Inabidi zibatizwe jina la 'kesibambikizi'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tito atatoka mahabusu mwezi February kwa sasa yuko sawa
 
Sijaelewa hizo chaji yaani feb 2019 mpaka dec 2019 alitengeneza program ya computer yenye thamani ya 17m?
Ni wapumbavu kama alitengeneza program na inaingza pesa c Ndo tunachotak vijana wajiajiri mbona hawaeleweki hii gvmnt dah unaeza taman mungu aje atuhukumu tu
 
Fimbo kuu za wakosoaji na wafanyabiashara visoi ni UHUJUMU UCHUMI, UTAKATISHAJI FEDHA NA UKWEPAJI KODI (TRA).
 
Back
Top Bottom