Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Dongo la maadam nn?
Hahhhhhahhhhahhhhahhia anajijua wala sio madam yupo hivi kakomaa kama anakunywa viroba vya jogoo kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dongo la maadam nn?
Halafu hata haringi, nilimuonaga kwenye msiba wa kanumba , she is soo cool, maana nilienda kuangalia tu umbea wa mastaa kila mtu alikuwa akiingia kwa mikogo as if walikuwa akina Beyonce au rihhana ila huyu demu kaingia xake kimya kimya bila hata ya mashauzi, nilichimpenda hakuwa mnafik kujifanya analia Lia ovyo maana wengine walikuw wanatak attention tu kwa kujifanya kulia sana
Hawa ndo mastaa... Sio kila kitu ata ukienda kukojoa tu mbwembwe kibao kila mtu akujue.
Yah dah alikuwa anajituma kuliko hata bongo movie wenyew
Akina wema na wasanii wengine walikuwa wanajifanya wanazimia ovyo ili wasipembue michele na kuosha vyombo
Nilikuwa namchek mwanzo mwisho dah hana masihara kabisa wala hakutaka shobo na mtu
Walijifanyisha kuzimiaaa hao ili waandikweee kwenye magazeti wapenda sifaaaa hahhhhhahhha
Hahaaaa binamu mbavu zangu mie
Chekii hiii waAfrika tunawezaa bonge la Harusi lakini kina fulani harus zao zilikuaa za kawaida tu lakin kujifanyishaaeaa wanazooo hwjambo
Dongo la maadam nn?
Hawa watu hata siwafahamu
Na mie siwajuiiii