Tiwatope Savage Afunga Ndoa Siku Ya Jana Na Kupewa Gari

Tiwatope Savage Afunga Ndoa Siku Ya Jana Na Kupewa Gari

Halafu hata haringi, nilimuonaga kwenye msiba wa kanumba , she is soo cool, maana nilienda kuangalia tu umbea wa mastaa kila mtu alikuwa akiingia kwa mikogo as if walikuwa akina Beyonce au rihhana ila huyu demu kaingia xake kimya kimya bila hata ya mashauzi, nilichimpenda hakuwa mnafik kujifanya analia Lia ovyo maana wengine walikuw wanatak attention tu kwa kujifanya kulia sana

Hahha lakinu kina mashauz ushuzi kunukisha watu vijambo tuuu
 
Yah dah alikuwa anajituma kuliko hata bongo movie wenyew

Akina wema na wasanii wengine walikuwa wanajifanya wanazimia ovyo ili wasipembue michele na kuosha vyombo

Nilikuwa namchek mwanzo mwisho dah hana masihara kabisa wala hakutaka shobo na mtu

Walijifanyisha kuzimiaaa hao ili waandikweee kwenye magazeti wapenda sifaaaa hahhhhhahhha
 
Back
Top Bottom