Tiwatope Savage Afunga Ndoa Siku Ya Jana Na Kupewa Gari


Hahha lakinu kina mashauz ushuzi kunukisha watu vijambo tuuu
 
Hawa ndo mastaa... Sio kila kitu ata ukienda kukojoa tu mbwembwe kibao kila mtu akujue.

Hahhhahhs full mbwembwee uchafuuu wenye vyaoi kimyaaaaa Millen yupo juu balaa na hajaolewaa akiolewa jeee hahhhha
 
Yah dah alikuwa anajituma kuliko hata bongo movie wenyew

Akina wema na wasanii wengine walikuwa wanajifanya wanazimia ovyo ili wasipembue michele na kuosha vyombo

Nilikuwa namchek mwanzo mwisho dah hana masihara kabisa wala hakutaka shobo na mtu

Walijifanyisha kuzimiaaa hao ili waandikweee kwenye magazeti wapenda sifaaaa hahhhhhahhha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…