Tizama waandishi wa Uganda Wanavyomuandika Diamond

ha ha ha ha ha eti his singing career is in Jeopardy.
 
Hivi Diamond anaweza kuongea fluently English? Au Zari anaweza kiswahili, au wana mkalimani?
 
Zari kama sikosei is 31 na Diamond 24, saa ngapi Zari atamzaa mtoto kama Diamond? Age is just numbers... In case you didn't know
wewe mwenye una uwakika na unachoandika
 
Kubeba mikoba ya mpenzi wako ni upendo tu na haimaanishi we ni mjinga
Acheni mfumu dume usio kua na maana. Big up kijana! Waganda na wabongo ambao hawaja ndembelea sehemu mbalimbali, ndo wanaona kama utumwa kubeba mkoba wa mkeo au mpenzi wako. Wake up people!
 
Kazi imeanza.
 

Attachments

  • 1420624653205.jpg
    84.6 KB · Views: 1,966
madafantaz hao walitaka abebe nani mbona mi nabebaga sana tu handbags za my wife ushamba wao tu wa mwache jamaa ale vyake.
 
wana wivu waganda...mbona yule mcheza mpira wa uganda mbona kamfiligisa sana mdogo wetu uwoya au wolper(not sure)..the boy spreads them legs like nobody's bizness...alikuwa anazimiss sana alivyokuwa choka mbaya..the playa with a passport.
 
hawa kwa vile wako ng'ambo darling akibeba handbag ya sweetie its ok lakini Africa unakua mtumwa. Uswahili kitu kibaya sana. My hubby always carry my handbag, na sijamfanya mtumwa
Correction!uswahili si kitu kibaya waswahili tuko poa tu ,sie waswahili wa zenji tunawatreat wachuchu wetu kama malkia,tunaenda "marikiti" na kuwafanyia midekezo yoote habibt wetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…