Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kubeba mkebe wa mwanamke ni mwiko kwangu.
Yawezekana kuna watu humu hawajui maana ya potter. Kwa kiswahili chetu cha Tandale ni Kuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubeba mkebe wa mwanamke ni mwiko kwangu.
UNgetumia angalau 5% ya ubongo wako ungegundua wewe ndo mwenye elements za mwanamke aliyeachika! Hebu ona upuuzi wako huu:wewe utakuwa umeachwa na diamond mbona umepaniki sana
Ona sasa... inakuuma jamaa kutoka na Zari... omg... Wakati wewe inakuuma Chibu kutoka na Zari, wanaume wa ukweli wanaona is none of yours business... halafu unasema nakuwa kama nimeachika... ni nani kati yetu anayeumia kuona jamaa anatoka Zari? Pole sana, jamaa ndo hivyo tena keshaamua... sina namna nyingine ya kukusaidia... endelea kulia wivu!!!Mtoto wa kwanza wa Zari ana umri kama wa Diamond anatembea na mwanamke mwenye umri sawa mama yake ni aibu .