Tizama waandishi wa Uganda Wanavyomuandika Diamond

Tizama waandishi wa Uganda Wanavyomuandika Diamond

wewe utakuwa umeachwa na diamond mbona umepaniki sana
UNgetumia angalau 5% ya ubongo wako ungegundua wewe ndo mwenye elements za mwanamke aliyeachika! Hebu ona upuuzi wako huu:
Mtoto wa kwanza wa Zari ana umri kama wa Diamond anatembea na mwanamke mwenye umri sawa mama yake ni aibu .
Ona sasa... inakuuma jamaa kutoka na Zari... omg... Wakati wewe inakuuma Chibu kutoka na Zari, wanaume wa ukweli wanaona is none of yours business... halafu unasema nakuwa kama nimeachika... ni nani kati yetu anayeumia kuona jamaa anatoka Zari? Pole sana, jamaa ndo hivyo tena keshaamua... sina namna nyingine ya kukusaidia... endelea kulia wivu!!!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom