My dear... wewe ukitulia kidogo na kutafakari utakuwa mtu wa mwisho kuendelea kumshutumu Zari coz' the woman, pamoja na mambo yake yote, she's just a victim wa mambo kutoka kwa jamii! Nasema ungekuwa last person coz', huyu Zari anayeonekana ni very hooligans woman, mambo yanayomtokea hata swahiba ako Wema yamemkuta sana hata kama si kwa kiwango cha Zari na yote hayo, pamoja na kwamba Wema nae is a drama queen the same as Zari lakini mengi yaliyomkuta alikuwa victimized! Zilisambazwa hadi picha chafu za Wema...na wewe unayafahamu haya! Yaani kama mtu ni mgeni na anakuja nchi kwa mara ya kwanza na akaanza kwa kusoma magazeti ya udaku na mitandao ya kijamii, hapo hapo angeamini hakuna mwanamke anayeongoza kwa ukahaba kama Wema! Kama ambavyo leo hii tunavyoona list ya wanaume inaosemekana wamemlala Zari, hapa pia tulikuwa tunaletewa list ya watu waliomlala Wema! Na ndio maana nimesema hapa mara kadhaa kwamba, wanawake ndo walitakiwa kumuelewa sana Zari kuliko sisi wanaume coz' yanayomkuta yeye, wanawake wengi yanawakuta... mtu anapiga picha chafu na mwanaume wake kv anamuamini lakini kesho huyo huyo aliyepiga nae ndie anazisambaza kwenye mitandao! Mwakajana au mwakajuzi ilisambazwa video ya msichana aliyekuwa analawitiwa kule Moshi... huyu msichana alimuamini yule jamaa, kumbe the guy is stupid, akawa nachukua video kwa siri and at the end of the day, yote waliyofanya chumbani yakawa hadharani!! Hakuna jipya kwa Zari sema kwake mengi yanachangiwa na umaarufu wake... they're all victims! The only thing I can tell ya as my friend, hata wewe as long as ni mwanamke... if you're not careful, u're in the same risk... yule yule unayemuamini unaweza kujikuta anakufanyia ushenzi ambao hukuhutarajia! Nimekupa case yangu ya Skype... usidhani ni stori ya kutunga ile.. sijaongeza chumvi hata 0.5% yule msichana akaniamini kama wengine wanavyowaamini watu wao, lakini at the end of the day, wanaishia kulia!
Zari anaweza kupiga picha kama zile za kunyonyana ulimi na kuzitundika mtandani, anaweza hata kupiga picha ya uchi lakini kwa mwanamke hawezi kuwa tayari kujipiga video huku akitumia kifaa kuingiza kwenye uchi yake huku uvuzi umejaa kibao halafu ai-post hiyo video watu waione... haiwezekani!! Hata kama angetaka kupiga video halafu aioneshe isingekuwa ile ya kujisaga ambayo ni aibu ya mwaka! Hata kama alitaka kutengeneza video to capture attention, isingekuwa chafu(sio uchafu kwamba ya utupu, bali ni uchafu wa mazingira) kama ile ambayo haifanani kabisa na anavyoonekana nje... angetengeneza a nice video, vyombo ameving'arisha hata unyoya hauonekani! Mimi mwenyewe ni mwanaume lakini video ilinitia kinyaa!