Tizama waandishi wa Uganda Wanavyomuandika Diamond

mwe!! mwe!! mwe!! huyu kijana ana tabia mbaya mwe!!
 
Na yatakuua kweli kama Kanumba. Kinywa kinaumba laana na baraka.
 
Chege aliimba dar mpk moro (kumbe karibu tu kwa nguvu za mapenzi zilivyo)

sasa huyu daimond
Dar mpk kampala

Haaaaa mapenzi matamu
 
Zari kama sikosei is 31 na Diamond 24, saa ngapi Zari atamzaa mtoto kama Diamond? Age is just numbers... In case you didn't know

Umekosea, Zari ana 40 sasa hivi 2015 na amezaa watoto watatu.
 
Kama kwa fahari ya macho wanapendeza sana!!Mengine watajua wenyewe...
 

Umeona! Hii si habari ya ajabu, sana sana inampaisha Diamond!
 
Mie nambebea mpenzi wangu mkoba mara nyingi tukiwa out. Naye hunibebea laptop mara zote. Ni mahaba. Kama nyie waandishi uchwara hamjui raha ya mahaba Kako.Jo.Eni mlale


hahaaaa kwakuwa laptop ni nzito ndo maana unampa pota wako looooh wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…