Tizama waandishi wa Uganda Wanavyomuandika Diamond

Hata Kama mko kwenye jukwaa la umbea jaribuni kutafuta facts... Principle yangu ni kupresent facts. Since kuna watu bado wako before wakati wengine tuko beafter siwezi kuweka where I get my Info's...bakini na story zenu za vijiweni. What I present is what it is. Hata Kama mtu nampenda still kwenye ukweli huwa nasema. Utashi ndio principle yangu. Alafu kuna watu hawapendi kutofautiana wakati hiyo ni sehemu ya maisha. Hatuwezi kufanana kimtizamo kamwe.
Alafu km sijakuquote wewe why kiherehere cha kujibu? Kiherehere km cha ng'ombe jike mwenye hamu ya kupandwa sio issue kwa mwanaume. Unataka nikujibu ovyo ulalamike kwa mods Kama kawaida yako nilimwe ban. Kwa kifupi nimekuignore kama chupi yangu ya bl...eed. Kwanza uko too low for my thinking. I'm sorry but I have to just ignore ur existence.
 
Niwiye radhi kaka, angalau sasa umeona uchungu wa mama. Zari ni mama wa watoto watatu think about the kids.
Kwanza tuanze na hilo la kukuwia radhi... apology accepted... nami niwie radhi kwa ku-burst like fire.

Baada ya hapo, tuje kwenye mada! Hilo la kwamba Zari ana watoto tunalikuza, anyway, mnalikuza!!! Cha ajabu nini wakati watoto wenyewe wote ni wadogo wale? Hii hoja angalau(ni angalau kwa sababu hayatuhusu) ingekuwa na maana endapo watoto wangekuwa wakubwa kumkaribia Diamond lakini wote ni wadogo... mtoto mkubwa kabisa hajafika hata 15... sasa hiyo aibu ya kuwa na baba aliyekuzidi zaidi ya miaka 10 inatoka wapi? Anyway, tuseme hao watoto wana umri sawa au hata kumzidi Diamond... sie inatuhusu nini wakati hatuna undugu wowote si tu na huyo Zari bali hata Diamond hatuna undugu nae! Inakuwaje mambo yanayopaswa kulalamikiwa na familia ya Zari au familia ya Diamond wajitwishwe zigo hilo Watanzania wasio na undugu wowote na Zari au Diamond, na mbaya zaidi, ni wale ambao wala si mashabiki wa Diamond? Ni mapenzi kwa Diamond au kuna kitu nyuma ya pazia? Kwanini mapenzi yenu kila siku yajikite kwenye maisha binafsi ya Diamond na yasiwe kwenye kazi zake? I hate to say this, hivi nikisema kinachotawala hapa ni unafiki na majungu hivi itakuwa nakosea?

Tukija kwenye umri wa Zari... mara kwa mara Zari ameripotiwa akisema amezaliwa 1980 na hili wala sio siri lipo hata kwenye profile yake. Lakini wapwa kila siku mnatangaza kwamba Zari ana miaka 40... ina maana nyie ndo mnamfahamu sana Zari kuliko anavyojifahamu mwenyewe? Manake hata hizo media za UG zinazosema Zari anadanganya umri zinasema ana miaka 36... sasa nyie hiyo 40 mmeitoa wapi? Najua source yako ni Mrembo by Nature... I like Mrembo by Nature, and I think I love her too but on top of that tunaheshimiana heshimiana hivi!! Na ninavyomfahamu MBN, kama anakuheshimu, hata ukimbana mahali ana-opt kutokukujibu... this's good for the sake of avoiding conflict na kv nimeshamfahamu kwa hilo, huwa nakwepa sana kumbana manake najua nitakuwa simtendei haki... hatanijibu; kuna siku aliniambia wengine wanatafsiri tabia yake hii kama dharau au jeuri... Myself I don't think so! Lakini hata hivyo, rafiki yangu huyu, I mean Mrembo By Nature ana mahaba ya dhati kweli kweli kwa Wema... trust me, kama kuna fan wa ukweli wa Wema jamvi hili ni MBN! Ukimsoma kwa papara unaweza kudhani anamchukia Diamond lakini ukweli ni kwamba anatamani sana Diamond awe na Wema and no one else!!! Sasa kila akimcheki Zari alivyo classic, anaona mnh... hapa kuna kazi!! MBN anatamani sana vile vi-hand bag anavyobebeshwa Chibu ingekuwa anabebeshwa na shoga ake Wema!!! Na couple yenyewe ilivyojaa uchokozi... mara leo wakunane mapaja, mara kesho mtu ajifanye kusikilia anavyokunwa kwenye mkono....aaaaaargh, ndo wanazidi kum-kill softly my MBN!!! Sasa ktk mazingira kama haya, Mrembo by Nature hawezi kutoa haki kwa Zari hata siku moja... Hilo ni sawa na kesi ya mbuzi kumpelekea chui!! Leo nimeangua kicheko mbele ya watu ninaowaheshimu niliposoma post moja ya MBN inayosema Zari ana watoto wengine sema anawaficha... omg!! Mrembo by Nature, you know I like you, right?... with good intention, kama PM kumefungwa leo nifungulie mara moja ili tupeane counselling... hii couple itakutia presha bure, achana nayo and move on... let's wait kichupa cha Wema na yule jamaa wa Ghana cjui anaitwa nani cjui!!!

Back to the topic.. hapa tena swali lile lile la awali linajirudia... achilia mbali hiyo 40, call it 50, sie ambao hatuna undugu wowote na Diamond au Zari inatuuuma nini? Umeshawahi kusikia mama ake Diamond analalamika kuhusu mwanae kutemebea "bi. mkubwa"? Sasa ikiwa mama mzazi hajalalamika, akina nyie vipi? Mbaya zaidi, mama huyo huyo mara kibao amekuwa akitokea kwenye picha na Zari... hata kama inamuuma, anajua that's Diamond's business coz' he's old enough to know what is best for him... sasa nyie akina Matola hamjioni kuwa watu wa ajabu? Kuna Asma...dada ake tumbo moja... kuna Queen Darleen, dadake baba mmoja... cku alipoulizwa kuhusu wapenzi wa Diamond, alijibu wazi wazi kwamba hayo ni masuala binafsi ya Diamond... sasa inakuaje nyie baki ndo mjifanye ni suala lenu wakati ndugu wa damu na mama mzazi hawajilifanya kama lao? Hivi mkitulia na kutafakari kwa kina huwa hamjishangai?
 
Last edited by a moderator:
NasDazkwa sababu umeamua kunitaja sitakutendea haki Kama nikikaa kimya.
1. Tambua kuwa Mimi ni mkweli na siku zote nasimamia ukweli. Kipindi cha nyuma niliwahi hata kiweka udhaifu wa Wema ambae ukweli ninampenda since day 1 nilipomtia machoni.
2. Kuhusu yeye kuwa na diamond Kama we we ni member mzuri wa celeb utagundua kuwa sijawahi kuyabariki mahusiano ya Wema na diamond ila coz Wema aling'ang'ania ilibidi nisiwe na jinsi. Kuachana kwao a bit ni relief kwangu. Point ya kuweka issue za zari ni kwasababu siku zote mdhaifu anaonekana Wema as if hyo zari ni malaika. So ni kuwaambia tu hakuna malaika.
3. Kuna watu JF wanajipresent Kama wana adabu ila ninawasoma IG daily na acxount zao fake wakishusha matusi dhidi ya mtu ambae hata hawamjui. Wengine wamefanya hadi viapo dhidi ya Wema. Hii inanifanya nijue kwamba kumbe humu ni zaidi ya chuki binafsi na ile dhana ya rational thinking haipo. At least wewe una afadhali japo siku moja moja wanakuambukiza.
4. I still respect u as it was as it was before. Nashukuru kwamba baada ya kuamua kutokukujibu (si kwamba sikuwa na fact km udhaniavyo ila niliepusha malumbano ambayo Mara nyingi mnapresent bila fact so niliamua kuwaacha na ujinga wenu). Nina info zangu nyingi Sana.
5. Kuhusu kumshabikia diamond, frankly sijawahi kuwa mshabiki wake, hata kiba pia. Sinaga ushabiki na hawa watu japo siwachukii. Wakifanya sawa nitasifia na wakikosea nitasema km watu wengine. Msanii ninayempenda ni afanfe select tu japo amefulia kiaina.
6. Nikiona mtu hana argument ninaamua kuwa mkimya ili nisibishane na mpumba...vu. Na kwa kuwa hili jukwaa lasilimia kubwa imejaa wapumbavu ambao kwao facts si muhimu ila ushabiki wa vijiweni nitahama mdogomdogo. Nitakuwa siitendei haki Masters yangu kubishana na MTU/watu wasiotafiti mambo.

Otherwise u r still my friend. I do respect you.... n I will always respect u kwasababu heshima ndio msingi wangu.
 
Last edited by a moderator:
NasDaz why people are so worried about zari's Kidd's ambao kwako wewe unaona is none of our business ...ni kwamba watoto ni moja Kati ya vulnerable group ambayo hawawezi kujitetea. Ni sera ya Dunia yote kuwalinda watoto maana irresponsible parents wanatumia vulnerability yao Kama loophole ya kuwaabuse psychologically na physically. Kwa nchi za ulaya na america inapoonekana mzazi hatimizi wajibu kwa kuyowapa mahitaji, hatengi mda na watoto (kutenga mda kwa ajili ya wanao ni lazima as per global provisions) huwa serikali inawachukua. Swala la mtoto ni wako akiwa tumboni na ukiwa unamfanyia vizuri, ukikiuka hayo si wako tena. Tena mara nyingi ni majirani wanaoreport case kama hizi na serikali inachukulia very seeious. Kama kwa ishu ya watoto bado unaona km si muhimu basi ndugu angalia ushabiki uasipoteze upeo wako.
 
Last edited by a moderator:
tumependana wenyewe
maneno manenoya nn
et serengeti boy kwani mnataka nn
sasa ninawaambia kijana yupo makini
wala haitaji kochamaximo yupo chini haiitaji msaada wa jezi kiwanda anacho ndani KHADIJA KOPA aliwaiimbia enz hizo yupo na dogo dogo
 
tumependana wenyewe
maneno manenoya nn
et serengeti boy kwani mnataka nn
sasa ninawaambia kijana yupo makini
wala haitaji kochamaximo yupo chini haiitaji msaada wa jezi kiwanda anacho ndani KHADIJA KOPA aliwaiimbia enz hizo yupo na dogo dogo

Hahahahaha viserengeti eti ndo habare ya mjini
 
Dogo anahitaji ushauri kwenye suala la mapenzi but napenda sana mziki wake
 

Mimi nimekuomba facts nashangaa kwa nini umekuwa mkali kiasi hiko ! nakubaliana kabisa na wewe mimi ni stupid tena stupid fool kabisa hili silikatai ata kidogo......Mimi nilichoomba ni facts, kumbuka hapa unamshambulia mtu ambae hayupo kujitetea, unamtengenezea uhongo na kupika vitu ambavyo nimeomba ututhibitishie kuliko kumsingizia dada wa watu anayefurahia maisha yake ya kimapenzi (kitu ambacho haupendi) lakini wewe kwa sababu ya chuki zako (sijasema stress) unaona furaha yako ni kumzushia......Haukatazwi kumchukia mtu sababu ni haki yako na inakupa na faraja haswa kwa mtu akikuzidi kila kitu, ila isifikie kumzishia tuuu hili roho yako itulie na ndio maana ukifikia hiyo hatua tunakuomba facts ambazo unapokuwa hauna unakimbilia kutukana au kusaka huruma kwa watu.


Mrembo leta facts....au declare interest!
 
Nianze ni hilo ka Wema kwamba cku moja moja huwa wananiambukiza... mie siku zote kutokana na mazingira hivyo hawezi mtu yeyote kuniambukiza mtazamo wake! Sina hakika kama ni wewe au Heaven on Earth, nilishawahi kusema mtazamo wangu kwa Wema upo vipi! Kama si wewe, basi ningependa nirudie tena hapa! Sina sababu ya kumpenda Wema wala kumchukia... WHY? Wengi wanampenda Wema kupitia kazi zake za filamu... kwa bahati mbaya, hata leo hii ukiniuliza Wema amecheza filamu gani, sina jibu coz' huwa siangaliagi hizi movie zetu! Aidha, nilisema wazi kwamba, pamoja na yote bado niliipenda couple ya Wema na Chibu!

Na kwa upande mwingine, sina sababu za kumchukia coz', kwa tabia yangu huwa sipendi kuingilia personal life ya yeyote. Home wananiambia nitakuja kuwa mlezi mbaya... I agree with them; manake am certain, hata nikiwa na my own kids, akishafikia umri wa mtu mzima, nitakuwa nimeshanawa mikono! Na mie hapa home ndie kimbelembele wa kuwa-criticize madingi pindi ninapoona wanataka ku-influence maisha ya wadogo zangu ingawaje wengi wao ni wakubwa tayari! Kutokana na hii tabia yangu ya kutopenda kuingilia personal life ya yeyote, utakuta ni ngumu sana kuwa na chuki na mtu hususani hawa ninaoishia kuwaona kwenye TV! Hata kwenye jamvi hili hili si mara moja wala mara mbili nimeshapata kuwahoji wanaosema kwamba Wema ni malaya wao wamemtia mara ngapi! That's how I am my dear kwahiyo usidhani huwa naambukizwa bali ukiona namponda basi amefanya jambo ambalo anastahili kupondwa na sio personal issue! Kwa hili, hata huyu Diamond ambae huwa namshabikia nilijitokeza wazi wazi kulaani kitendo chake cha kukurupuka kumjibu Davido kabla hajakuwa na uhakika Davido alimaanisha nini... again, that's how i am! It's out of topic but it serves to tell what kind of person I am! Mimi ni Mwislam... huyu Matola tumesuguana sana enzi hizo kwenye mijadala ya kidini hadi pale tulipojiona kumbe sisi ni wajinga! Lakini pamoja na Uislamu wangu huo, nilijitokeza wazi wazi kumponda Sheikh ILunga (kama uliisikia hii issue) hadi watu ninaowaheshimu wakaniita mimi ni Kafir lakini nikasema heri kuwa kafiri kuliko kutetea upumbavu... that's how I am my dear! Kule jukwaa la siasa sina rafiki wa kudumu coz' leo hii wana-CHADEMA wataniita Gamba na lakini kesho nitacheka nao baada ya kuona nimemponda mwana CCM... Kwenye signature yangu ya nyuma, nilianza na maneno " I am a free thinker....!"mwisho nikamalizia "If today we agree with cheers, tomorrow we'd not disagree with jeers!" Coz', that's how I am my dear nafahamu leo mtu naweza kumkosha kweli kweli kwa mada zangu lakini kesho nikamkata maini..

Hili la watoto na kwamba wapo very vulnerable... wow! it sounds good and beautiful but let's be honest my dear! Hivi hawa watoto tunawahurumia leo baada ya Zari kuwa na Diamond kuliko zamani ambapo walikuwa ni wadogo zaidi as compared to sasa?! Kama kweli tunawahurumia watoto ni kwanini tunaongoza kutaja mambo machafu ya mama yao? Tell me somethin' MnN... naamua kusimama bega kwa bega na wewe kwa ajili ya kukutetea dhidi ya mama yako lakini katika kukutetea huko kazi yangu kubwa ni kumchana mama yako mzazi na kutaja all bad things about her... will you really love me na kuniona mtetezi wako? Hivi wale watoto wangekuwa na uwezo wa kuingia JF wangeyajua mangapi ya kuumiza na kuchukiza kuhusu mama yao toka kwa watu wanaosema wana uchungu na wao? Tungekuwa na huruma na watoto tungehangaika ku-post picha chafu za mama yao huku tukijua kwamba itawaumiza zaidi kuona mtu ana-post picha chafu za mama yao kuliko hilo suala la kuwa na Diamond?

Hilo la IG, am very sorry for that... na ndio maana mie hadi leo sipo IG hasa baada ya kuona kinachoendelea IG ni upuuzi zaidi kuliko facebook!

Kuhusu facts about Zari... hakuna yeyote mwenye uwezo wa kuleta facts zaidi ya zile anazosema mwenyewe! Ni Zari pekee ndie mwenye uwezo wa kuleta Birth Certificate inayoonesha she's 35 (hata kama she's 40) lakini hakuna wa kuleta birth certificate inayoonesha Zari is 40 hata kama kweli ni 40! Hakuna mwenye facts za kuthibitisha kwamba Zari na watoto zaidi ya watatu hata kama ni kweli zaidi ya yeye mwenyewe kuwa na uwezo wa kuthibitisha kwamba ana watoto watatu tu! Mengine tunayoambiwa kwamba ni facts ni Zari kulala na wanaume zaidi ya 50 lakini list inayotolewa kila siku ni ile ile iliyozoeleka ambayo, si tu kwamba haiwezi kuthibitisha chochote kwamba hao ndio amelala nao lakini list yenyewe hata hiyo 50 haijakaribia!

Hapo ulipomalizia kwamba "Otherwise u r still my friend..." umekosea bhana, ungemalizia na "and i love you too...!"
 

Japo haujaniqoti ila nimejishuku, unajua mimi ni mtu wa kujishukushuku so am real very sorry......Ok umesema we ni mtu wa facts bado naendelea kukuomba utupe facts za kile ulichokisema mara nyingi kuwa Zari ana watoto wanne, utuambie huyo mtoto wa nne yupo wapi? ana umri gani?ni jinsia hipi?....umesema Zari ana miaka 38 tunaomba ututhibitishie kwa kutueleza source ya unachokisema....otherwise declare interest.

Nitashangaa msomi wa masters kama wewe ushindwe kutoa facts. wakati umetetea dissertation yenye ma-facts kibao huko ulipo, tutajitofautishaje sisi wakata mkaa na nyinyi wasomi tena wa masterz.

Najua kiherehere changu kinakunyima raha sana, sasa ili nisiwe nakukot basi usiongopee watu wala kuwasingizia mabaya......hapo sitakukoti bila hivyo nitakukoti tuu hupende usipende mimi sinaga kumsusia mtu nampa plain ata iweje, njia ya wewe kukaa mbali na mimi ni kuniweka kwenye ignore list utakuwa umefanya jambo la msingi sana kwani hatutakwazana tena umu. Wote wanaonihofia uwa wananitishia kunitupa kwenye ignore list ila sijajua wanakwama wapi!

OneLuv!
 

Forget about Wema/Zari/diamond saga.... Happy that u acknowledged the fact that "we friends"...and friends do love each other. Let's not spoil our humanity values for the sake of some persons who would never appreciate our existence (even if they come to realize that NasDaz an MBNJF exists).
As a matter of fact some of the facts I have ar from zari herself. But don't mind coz I decided not to present anything for this debate. I enjoy giving people the benefit of doubt as usual.
 
Last edited by a moderator:
ma2mbo u seem to be appreciating my presence in ur heart. I decide to give u an offer... Why can't u join my team and we be JF friends? I know u a too obsessed by the fact that I decided not to be involved in any issue related to u. Don't be a secret admirer (hater) instead be an open admirer (friend). Let me give u sometime to think about this offer....
 
Last edited by a moderator:
Kumbe nimeleta suala la watoto kwenye post isiyohusika! I repeat, tusiwatumie hawa watoto coz' kama kweli ingekuwa tuna huruma na hawa watoto base ya utetezi wetu kwao isingejikita katika kumchafua mama yao! Hata kama kweli mama angu ni malaya mbwa aliyeshindikana anayelala na kila mwanaume anayekutana nae barabarani bado siwezi kukuelewa ukiniambia kwamba eti unanihurumia na kunitetea coz' am vulnerable huku katika kunihurumia huko msaada mnaotoa ni kuendelea kumchafua huyo mama angu hadi ku-post picha zake chafu halafu mtu aseme ananitetea... I'll never understand them!! Aidha, sijasema popote kwamba wale watoto is none of our business bali nilichosema na ninachoendelea kusisitiza ni kwamba mapenzi ya Zari na Diamond is none of our business... kama Zari is 40 or 50, is none of our business!

That's one... lakini kwa upande mwingine, hivi hiyo child abuse ya wale watoto imekuja baada ya Zari kuwa na Diamond? Nini kimebadilika katika maisha ya Zari kati ya sasa akiwa na Diamond and before that? Hivi kweli kabisa, with clear conscious, unaamini kabisa kwamba wale watoto wapo under threat kwa sasa kuliko ilivyokuwa zamani? Mbona sijawahi kusikia kwamba wale watoto wapo psychologically abused hususani baada ya Zari kuwa na Diamond? Au unachukulia kauli ya King X ambae kila mmoja anafahamu uhusiano wake na Zari upo vipi? Let's not use kids bhana...
 
This's so beautiful... I really mean it!
 

Kuhusu video mama yao ndio alirelease mwenyewe kuseek attention na sympathy ya white party. Alishakamatwa akaachiwa kwa dhamana. So watu Kama raia Wema wanahaki zote kuvoice up coz amewaabuse watoto kwa video zake.
Note: don't write as if u addressing me....u address the public. Child issue sijasema Mimi ni Sera ya dunia. Mtoto ni wako akiwa tumboni tofauti na hapo sio wako. Mama amewaabuse watoto kwa kuachia video ya uchi. Ingekuwa mbele hii case watoto wangechukuliwa na angefungwa kwa kuhumiliate watoto kisaikolojia.
 
Me sion kibaya kwa diamond hapo.
Ninachoona ni gazeti limemponda zari tu na kumkandia. So hzo ni bifu za uganda. Inaonekana wanamuongelea vibaya mtu wao.
Keep it up diamond wewe ni moja ya balozi wetu unaewakilisha vizur tanzania africa na dunian kote
 

Kiukweli nakuaprishieti sana haswa nikumbuka ile story uliyotumegea kuhusu mbwa na mahusiano na wazungu...unaikumbuka?

Ndio kitu kinachofanya sikusahau ata siku moja,kwani nilianza kukuzingatia kuanzia pale.

Kuhusu offer, kwa kweli sijawahi kukuchukia ata siku moja wasiwasi wako tu . ila napenda kumchalenj yoyote sijaumbwa mwoga ata katika maisha yangu ya kawaida.
 
Last edited by a moderator:

U see I said it... U r not a hater but a secret admirer. So kumbe nilikuwa nakuumiza sana kwa kutokukupa the attention u craved for? Pole ma2mbo. Just take it in ur mind that there are times we will differ in perceptions so live with it. Diversity in perceptions should not be addressed as an enmity.
Back 2 the mzungu issue: Hahah whether u take it personal or otherwise life nililoweka that day ndio La wazungu walio wengi (japo sio wote). Better to know it before taking any decision....so kama unataka kumjoin Lucy komba the door is open for u (only if u r comfortable)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…