Haiwezekani usajili wachezaji kwa gharama kubwa na bado wakati wa mechi ufukie makafara, uwashe moto katikati ya uwanja na bado anafungwa.
Hii si timu ya mpira, ni kikundi cha uchawi.
Tazama sehemu ya mazoezi ya Simba wakiwa kambini kwao Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kumbuka leo ni siku maalum ya waandishi wa Habari (Media Day) kufanya mazungumzo na viongozi, wachezaji na benchi la Ufundi la Simba. View attachment 3118596