TLP Tanzania: Tunaungana na Watanzania kumpongeza Rais Samia kwa kununua Pamba "Cash" na kuongeza bei kwa 125% FY2021/22

TLP Tanzania: Tunaungana na Watanzania kumpongeza Rais Samia kwa kununua Pamba "Cash" na kuongeza bei kwa 125% FY2021/22

Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2020
Posts
1,070
Reaction score
568
BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA SAMIA|SAMIA,NASISI TLP TUNAUNGANA NA WATU HAWA,

Ndg Wananchi,

Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg FY2021|22 kwa kilo,Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% licha ya awali bei hiyo kuzinduliwa kuwa Tshs 1.050/kg FY2021/22,Kwalugha rahisi kama sio Mama Samia bei ya Pamba leo ingekuwa ni Tshs 1,050/kg,Nidhahiri hapa Mama Samia kapindua Meza,Kasi hii ya Rais Samia Watoto wa Mjini wanaiita "Utajua Hujui" kwa muda huu mfupi wa Mama Samia bei ya Mbaazi, Kawaha, Alizeti, Korosho, Chai zote ziko juu na malipo yote yanafanyika mkono kwa mkono tena by " Cash money" Huko nyuma hawa wakulima wa Pamba Pamoja na kupewa bei ndogo ya Pamba yao bado Watoto hawa wa Masikini waliuza Pamba yao kwa Mkopo,Yaani " Masikini anamkopesha Tajiri " ( this could only happen in Tanzania) huwezi kukuta utaratibu huu popote duniani ila sasa "Mama hataki dhuluma, tumwombee na tumuunge mkono kwa Umoja wetu"

Sisi ni nani tusione haya na kupongeza,

Tunafahamu, Rais Samia amefanya mambo matatu makubwa ambayo TLP tumeyapigania kwa muda mrefu,

1. Kuondoa Urasimu pamoja na jumla ya tozo 232 kwa Wafanya biashara wote wakiwemo hawa wa Pamba,

2. Amepunguza faida kwa Wanunuzi wa Pamba,

3. Ameongeza Wanunuzi Wa Pamba kufikia 30.

TLP - Tanzania Kwanza
 
Hili zao lilimshinda Ngosha yaani,

Hongera sana Rais Samia, wasiokupenda watasema ni wao wameongeza hiyo bei,

Tunamtaka huyu mama mpaka 2050,

Hii nchi tumechezewa sana sinema,

Samia bila kelele na mambo ni fireee
 
Halina pamba mwaka huu hata ikifika Laki moja kwa kilo pamba, na yenyewe iko wapi?
 
Badala ya kupigania stahiki za Wafanyakazi, ili kuenzi maana halisi ya chama chenu! Nyinyi mmeamua kujipendekeza kwenye pamba!

Sijui ndiyo mnavizia uteuzi tena uteuzi wa Mwenyekiti wa Parole!!! Moja ya vyama vya siasa visivyo jielewa nchini!!
 
Kwani wakulima sio wafanyakaz?
 
Kwa mwaka wakulima wa Tanzania wanazalisha pamba kiasi gani?

Au hilo ni ongezeko ili kuvutia zaidi wakulima waliokwisha kata tamaa?
 
Wakati Mama Samia akiongeza bei wakulima wengi waliacha kulima katika kipindi Cha miaka miwili iliyopita. Naamini wengi msimu huu unaoanza mwezi ujao watarudia kulima.
 
Njaa ni hatari sana. Hasa ikitoka tumboni na kuhamia kwenye ubongo. Unampongeza mtu ambaye hahusiki kabisa na wala hajui pamba ni nini! Kama pamba inanunuliwa kwa cash ndio kawaida hiyo au nyie mlitaka inunuliwe kwa VISA card? Leo nimenunua nyanya kwenye genge kwa cash. Naomba mnipongeze basi.
 
Unalalamika nini?

Nenda Simiyu utaelewa kwanini TLP wanampongeza Mama Samia,

Pamba iliuzwa mia 8 tena kwa Mkopo,

Leo elfu na mia 8 ,Hujui nguvu ya buku wewe?

Leo ni Cash money huoni tu utofauti?
 
Ni nini kilisababisha hili? Siyo nyie hao hao? Samia amekuwa serikalini tangu miaka ya 90 mwishoni. Hamuwezi kutengeneza matatizo, halafu mnajifanya kuyatatua, halafu mnataka kupigiwa makofi. Ni ujinga huo. Siyo Watanzania wote ni wajinga.
Pamba iliuzwa mia 8 tena kwa Mkopo,
 
Unalalamika nini?

Nenda Simiyu utaelewa kwanini TLP wanampongeza Mama Samia,

Pamba iliuzwa mia 8 tena kwa Mkopo,

Leo elfu na mia 8 ,Hujui nguvu ya buku wewe?

Leo ni Cash money huoni tu utofauti?

Anayempinga Samia anatatizo binafsi,

Kilimo kinategemewa na watu zaidi ya 85%

Wakulima wako zaidi ya 65%

Ukikipa nguvu kilimo maana yake unawapa nguvu watu zaidi ya 90% wanaoishi Tanzania,
 
Tukiacha Ubinafsi na chuki za makundi ya Magufuli na baadhi ya watu wa kanda ya ziwa wanaomuhujumu Mama Samia,

Samia ni kiongozi makini compared To Magu,

SGR inajengwa yote,

SG kazi inaendelea,

Barabara ujenzi unaendelea kila kona,

Madaraja yote yanajengwa,

Madarasa yanayojengwa kama yote,

Mikopo elimu ya Juu Juu

Zahanati Usiseme

Vituo vya afya balaaa,

Samia ni zaidi ya mzalendo uchwara,
 
Back
Top Bottom