Uchaguzi 2020 TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya ishirini na moja (21) yanayoisukuma zaidi TLP kumuunga Mkono Mhe Dkt. John Magufuli kuelekea Okt 2020

Basi kumbe sikua nalifahamu hili, kuna ajira 74 elfu? Nyongeza za mishahara kwa kuwapandishia watu madaraja, sijui mlimaanisha statutory increment au nini? Maana madaraja ni madaraja na hio statutory increment ni sheria. Haya mengine yote naona no hadithi tu

Pia madaraja sio kila mtu anapanda daraja kila mwaka, kwahio walioweka Statutory sio wajinga kuliko sisi, madaraja ni issue ya tofauti kabisa.
 
Hii nimeipenda kumbe kwa sasa katika kila kituo kimoja cha kutolea huduma za afya (Hospitality,Zahanati,Kituo cha afya...)kama watanzania wote 55M tutaugua kwa siku moja basi kila kituo kitahudumia wagonjwa 17 tu ,


#Tano tena kwa JPM,
 
TLP Taifa mko juu kwa kweli! Hadi taarifa mnaandikiwa na kitengo cha Polepole pale Lumumba nyie mnatia saini tuu!
Nyie endeleeni kuwa wajinga mkidhani ujinga ni fahari.
 
Hiki nacho ni chama cha siasa au kikundi cha watu wanaojipendekeza
 



Navutiwa sana na hiki,kitambo kifupi nitaicha Chadema Yangu iliyopoteza mwelekeo,
 
Unaweza kuta hicho kitaarifa kimeandakiwa na wanaCCM then TLP wakapewa kwa shinikizo la kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii.

Mkuu umepatia kwa asilimia 100, kuna mtu wa ccm alileta sifa za hivyo hivyo kuwa ni kwanini Magufuli aendelee kukaa madarakani. Hawa TLP inabidi waimbe nyimbo za ccm ili waendelee kuwepo. TLP wanajua fika hata kuwe na tume huru vya uchaguzi hawapati kitu, wanaona ni bora wajikombe kwa ccm ili wapate chochote kwa mbeleko.
 
Team wasalaam,

Naomba nianze kwa tangazo fupi,

Wale wanaotaka kugombea Ubunge na Udiwani Jimbo au Kata yeyote bara na visiwani kupitia chama chetu tuandikie kupitia.

tlptaifa@gmail.com
 
Ni usaliti, kutafuta kupata huruma ya Magu kwenye uteuzi! Takataka kabisa! Sidhni kama chama (kama ni chama kweli) kina wanachama zaidi ya elfu moja!
 
Hivi wana wanachama wanaozidi 1000?
 
Wameona wasigombee urais wakazigawa kura za upinzani. Nadhani wapinzani wanapaswa kuwashukuru sana TLP kwa hili.

Ila hapo kwenye " TLP-Uhai Wa Mtanzania 🇹🇿" kiukweli umetuingiza chaka
 
Kuwa na mijitu mijinga kama nyie ni hasara kwa dunia.
 
TLP ile alama jogoo kwenye bendera yenu itoeni muweke ya tetea. Hamna sifa ya kuwa jogoo.
 





Natafuta kadi ya TLP niipate wapi?
Natafuta kadi ya TLP niipate wapi?
Natafuta kadi ya TLP niipate wapi?
Natafuta kadi ya TLP niipate wapi?
 
Basi huenda TLP wakawa na akili kubwa kuliko Vyama vingine vya Upinzani Tanzania,

Ni Siku chache tu baada ya TLP kutangaza Kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kazi zake ndio Bank ya Dunia nayo inatangaza TANZANIA kuingia kipato cha kati,
 
Naunga mkono hoja tindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…