Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Nimecheka kwa nguvu vibaya.Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Richard Shadrack Lyimo, ameweka wazi msimamo wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza sera mbalimbali za chama hicho na sababu kwa nini wananchi wawaunge mkono.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na waandishi wa habari Machi 3, 2025, katika makao makuu ya TLP, Dar es Salaam, amesema hawezi kuidhinisha kujiunga na vyama vingine vya siasa kutokana na funzo walilolipata kutoka kwenye muungano wa UKAWA mwaka 2015.
This is not insanity. Its stupidityAlbert Einstein once said
Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.
kumbe ni akina lymo ningeshangaaMwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Richard Shadrack Lyimo, ameweka wazi msimamo wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza sera mbalimbali za chama hicho na sababu kwa nini wananchi wawaunge mkono.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na waandishi wa habari Machi 3, 2025, katika makao makuu ya TLP, Dar es Salaam, amesema hawezi kuidhinisha kujiunga na vyama vingine vya siasa kutokana na funzo walilolipata kutoka kwenye muungano wa UKAWA mwaka 2015.
insanity implies a deeper break from reality, while stupidity is just poor decision-makingThis is not insanity. Its stupidity
So it's stupidityinsanity implies a deeper break from reality, while stupidity is just poor decision-making