PreGE2025 TLP: Wanaotaka muungano wa vyama na sisi, wakubali mgombea Urais atokee TLP

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
This is not insanity. Its stupidity
twambie kwa perspective ipi

kwasababu "stupidity"(upumbavu) sikwamba ubongo haufanyi KAZI ila hautumiki

Wakati WAZIMU"insanity" ni tatizo na linatazamwa kamazingira tofauti
 
  • Thanks
Reactions: 004
Ngoja tumsikie na Hashimu Rungwe nae anasemaje
 
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Richard Shadrack Lyimo, ameweka wazi msimamo wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza sera mbalimbali za chama hicho na sababu kwa nini wananchi wawaunge mkono.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza na waandishi wa habari Machi 3, 2025, katika makao makuu ya TLP, Dar es Salaam, amesema hawezi kuidhinisha kujiunga na vyama vingine vya siasa kutokana na funzo walilolipata kutoka kwenye muungano wa UKAWA mwaka 2015.

Is He Ok upstairs??🤣🤣🤣😂😂🤣
 
Hii message iwafikie CHADEMA. Kutaka mbeleko ya TLP imekataliwa.
 
1743767846241.png
 
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Richard Shadrack Lyimo, ameweka wazi msimamo wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza sera mbalimbali za chama hicho na sababu kwa nini wananchi wawaunge mkono.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza na waandishi wa habari Machi 3, 2025, katika makao makuu ya TLP, Dar es Salaam, amesema hawezi kuidhinisha kujiunga na vyama vingine vya siasa kutokana na funzo walilolipata kutoka kwenye muungano wa UKAWA mwaka 2015.

Hakika hii tone tone toka nairobi wanaweza wauza!
 
Nimecheka kwa nguvu vibaya.
Hiki ndo chama makini cha Upinzani vingine ni wahuni tu…. Huwezi kushikiwa akili na Malaya anaeishi ukimbizini Nairobi halafu watu wakakuamini NEVER!
 
This is not insanity. Its stupidity
Stupidity ni relative term!! Ukae ukijua TLP ni chama cha siasa chenye Nia ya kushika dola pia……

Stupidity ni kuona anaetakiwa kukamata dola akitoa mipango ya kushika dola kisha ukamshangaa!!

Afadhali wao kuliko chama kile kinachoongozwa na malaya Fulani toka Nairobi.
 
Hiki ndo chama makini cha Upinzani vingine ni wahuni tu…. Huwezi kushikiwa akili na Malaya anaeishi ukimbizini Nairobi halafu watu wakakuamini NEVER!
Mbowe alishindwa kihalali, na maumivu yako yanafahamika kuhusu matokea yale.
 
Back
Top Bottom