Uchaguzi 2020 TLP yatangaza kuungana na CCM. Yamteua Rais Magufuli kuwa mgombea Urais Oktoba 2020

hivi wanachama wa TLP wanazidi 100 Tanzania nzima?
 
Kama wenyekiti tu wa mtaa uko kwake walimnyima waje wampe udiwani au ubunge kwa lipi hapa dingi anajitekenya mwenyewe anacheka mwenyewe
 

Hawa TLP ni ccm B, wamekuwa wakiunga mkono urais wa ccm tokea JK hajawa rais niliwahi kwenda mikutano yao ya kampeni wakisema waziwazi kura zipigiwe upande wa CCM.
 
anajifia huyo
 
KIDUMU CHAMA CHA.MAPINDUZII
 
TLP kimekuwa chama cha kwanza kabisa kuteua mgombea wake wa urais atakeyeshiriki Uchaguzi Mkuu 2020 kupitia CCM! Maajabu duniani hayaishi.
 
Muungano wa kisiasa huwa ni wa kinafikia, duniani kote
 

Sijaelewa, yaani CCM wawaachie majimbo TLP kwa sababu wamemteua anaetarajia kuwa mgombea wa CCM kuwa Mgombea wao? CCM hii hii ya Lumumba ama nyengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…