Akili sijui umeziweka wapi kama ni chama cha siasa ,unajua lengo kuu la chama cha siasa?TLP ndicho chama cha siasa! Vingine ni mapandikizi ya mabeberu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili sijui umeziweka wapi kama ni chama cha siasa ,unajua lengo kuu la chama cha siasa?TLP ndicho chama cha siasa! Vingine ni mapandikizi ya mabeberu!
TLP KUUNGANA NA CCM
Halmashauri Kuu ya Chama cha TLP imesisitiza kuwa chama hicho hakitasimamisha mgombea wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, badala yake chama hicho kitamuunga Mkono Mgombea wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli pindi atakapopitishwa na Chama Chake.
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho Augustino Lyatonga Mrema amesema maamuzi ya halmashauri kuu ya TLP yanafuatia chama hicho kuridhishwa na mwenendo wa utawala wa Serikali ya awamu ya Tano.
Maamuzi ya TLP kumuunga mkono JPM kwenye uchaguzi wa 2020 inaweza kuwa na faida kubwa kwa TLP yenyewe kuliko hata CCM.
Sidhani na siamini kama CCM inahitaji kura chache za wanachama wa TLP, bali ninachodhani TLP wanahitaji nguvu na anagalau majimbo mawili matatu kwa nguvu ya CCM.
Hii ndio siasa bwana, ukikaza mashindano mwenzio anajenga muungano anakupiga bao.
Kama naona 2020 kwa mara nyingine TLP chama kilichokuwa mfu kinapata angalau kata na majimbo mawili.
Ukiona huna nguvu wewe ungana na mwenye nguvu baadae utapata nguvu.
UKAWA kuna tamaa kubwa muungano wao ni wa Kinafiki
Sina chama najaribu kuchambua muelekeo tu, usinicopy vibaya.
Huhitaji kuwa kachero , Wagombea wa urais hupitishwa na vyama vyao kwa mujibu wa katiba , hawapitishwi na wapambe wanaotaka vyeo kama Mrema
anajifia huyoTLP KUUNGANA NA CCM
Halmashauri Kuu ya Chama cha TLP imesisitiza kuwa chama hicho hakitasimamisha mgombea wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, badala yake chama hicho kitamuunga Mkono Mgombea wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli pindi atakapopitishwa na Chama Chake.
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho Augustino Lyatonga Mrema amesema maamuzi ya halmashauri kuu ya TLP yanafuatia chama hicho kuridhishwa na mwenendo wa utawala wa Serikali ya awamu ya Tano.
Maamuzi ya TLP kumuunga mkono JPM kwenye uchaguzi wa 2020 inaweza kuwa na faida kubwa kwa TLP yenyewe kuliko hata CCM.
Sidhani na siamini kama CCM inahitaji kura chache za wanachama wa TLP, bali ninachodhani TLP wanahitaji nguvu na anagalau majimbo mawili matatu kwa nguvu ya CCM.
Hii ndio siasa bwana, ukikaza mashindano mwenzio anajenga muungano anakupiga bao.
Kama naona 2020 kwa mara nyingine TLP chama kilichokuwa mfu kinapata angalau kata na majimbo mawili.
Ukiona huna nguvu wewe ungana na mwenye nguvu baadae utapata nguvu.
UKAWA kuna tamaa kubwa muungano wao ni wa Kinafiki
Sina chama najaribu kuchambua muelekeo tu, usinicopy vibaya.
KIDUMU CHAMA CHA.MAPINDUZIITLP KUUNGANA NA CCM

Hiki chama chenyewe kimepandikizwa na Beberu la TanzaniaTLP ndicho chama cha siasa! Vingine ni mapandikizi ya mabeberu!
Muungano wa kisiasa huwa ni wa kinafikia, duniani koteTLP KUUNGANA NA CCM

... muhimu Mrema ahakikishiwe uenyekiti Bodi ya Parole aka ulaji - sio zaidi ya hapo.Sijaelewa, yaani CCM wawaachie majimbo TLP kwa sababu wamemteua anaetarajia kuwa mgombea wa CCM kuwa Mgombea wao? CCM hii hii ya Lumumba ama nyengine?