TLS, CHADEMA na wote wanaoipenda Nchi yetu, lipelekeni mahakamani suala la Bandari zetu

Mtu mzee ajuza akiwa mnafiki ni mchawi tu. Unaleta huu utopolo kulinganisha na grand corruption of the century ya DPW na ndugu zenu.? Sijui nyie wa pande ile mna nini hasa. Mzee Rukhsa "baba samia" ndiye aliuza Loliondo kwa waarabu. Bintiye amemalizia na sasa amerudi bandarini. Hatuwahitaji mjikate muungane na muscat kwenu.
 
Roho zinawauma mkiona mama anauweza mfupa uliowashinda.

Unafahamu kwanini. Hata wewe unafahamu.
 
Hiyo ni kazi ya Bunge.
 
Naunga mkono hoja.
P
Mkuu hili suala tunalijadili kwa mrengo wa Siasa, kisheria au kiuchumi?
Je Kiuchumi Tz itagain au itapoteza?
Msingi wa makubaliano ni UFANISI + MAPATO, je kwa makubaliano yale kama umesoma kwetu yataeleta ufanisi na mapato?

Naomba uchangie kwa muktadha wa kiuchumi kwanza, ukitoa FAIDA na HASARA za MAKUBALIANO yale, ili tupime ubora au udhaifu wa Makubaliano yale.
 
Mtaumia sana, bado.
Ninakuhakikishia hakuna wa kuweza kututisha kama Magufuli. Huyo bishoo atainua mikono juu mapema tu! Hasa baada ya unafiki wa kipumbavu kujidhihirisha. Yeye ndiye atakayeumia subirini!!
 
Ninakuhakikishia hakuna wa kuweza kututisha kama Magufuli. Huyo bishoo atainua mikono juu mapema tu! Hasa baada ya unafiki wa kipumbavu kujidhihirisha. Yeye ndiye atakayeumia subirini!!
AlhamduliLlah Mwinyi alitutowa kwenye umasikini wa kutisha.

Kikwete akatutowa kwenye wizi wa kutisha.


Mama samia anatupeleka kwenye utajiri wa kutisha.
 
Kila mtu kwenye eneo lake aelimishe ndugu na Jamaal Kwamba nchi imeuzwa Kwa miaka 100000000 na wahuniiiii wanaojiita bunge
 
Mahakama hata iwe ile ya East Africa ni bora. Hizi za ndani zitatuzingua.

TLS kazi kwenu unganeni na vyama vya upinzani(sio vyote vingine ni mfu) muokoe jahazi..
 
asante sana. naomba usome hii
 
Kwakuwa limeshaamuliwa na kupitishwa na BUNGE, Mahakama haitaweza kulitolea maamuzi tofauti Shauri hili kwani watakuwa wameingilia Uhuru au Maamuzi ya Mhimili Mwingine. Ni kupoteza Muda tu.
siyo kweli hata kidogo. Ukipata wakili mzuri na mahakama zilizo huru, wanaweza kubatilisha
 
Mahakama zipi sasa? Nchi yetu ina mifumo kama ya Nchi za Kijamaa. Hakuna kesi hapo
 
Hii nchi ukiwa mwandishi mzuri wa vitimbi,kila siku unapata kitimbi kipya
 
AlhamduliLlah Mwinyi alitutowa kwenye umasikini wa kutisha.

Kikwete akatutowa kwenye wizi wa kutisha.


Mama samia anatupeleka kwenye utajiri wa kutisha.
[emoji23] [emoji23] Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…