TLS - Kongamano la kitaifa kujadili matukio ya utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania

Yakiitishwa maandamano hujitokezi unamwachia Mwenyekiti wa Maisha Mbowe na mtoto wake ila vitu lainilaini kama hili Kongamano uko mstari wa mbele. Bibi Erythrocyte uwe unajitokeza hata kwenye maandamano anayoitisha Mwenyekiti wa Maisha Mbowe!
Off point..!!!
Patachimbika ,Ponda ndani ,mwamakula ndani ,pambalu ndani,muliro ndani.
Ngoma inogile
 
Sativa asipopatiana hewani MC atalia
 
Nilitegemea hayo anayosema Sheikh Ponda ndiyo yafanyiwe kazi na huo mkutano leo
 
Utekaji unaogopwa na kila mtu mtoto, kijana na mzee kila sehemu kijijini, mijini nk, huamini shuhudia 👇

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Ingekuwa mechi ya simba na yanga tungekuwa page ya 500. Kweli vijana wa Tz ni wa hovyo kabisa
 
Nani huyo in green anavuruga mkutano?
 
Yakiitishwa maandamano hujitokezi unamwachia Mwenyekiti wa Maisha Mbowe na mtoto wake ila vitu lainilaini kama hili Kongamano uko mstari wa mbele. Bibi Erythrocyte uwe unajitokeza hata kwenye maandamano anayoitisha Mwenyekiti wa Maisha Mbowe!
Hii TLS ya Mwambukusi ni ya kijinga sana, imejaa wanaharakati watupu wa machadema, hata siku moja hawana jema na serikali yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…