TLS - Kongamano la kitaifa kujadili matukio ya utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania

(LIVE VIDEO IPO CHINI)

Leo tarehe 5 Oktoba 2024, mawakili wote wa Tanzania bara, hasa wa jijini Dar es Salaam, wanakutana katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam, ili kujadili suala la utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania. Tukio hili la kitaifa linaandaliwa na Tanganyika Law Society (TLS) na limehudhuriwa na wanachama wa TLS pamoja na wageni waalikwa kutoka taasisi mbalimbali.
Lengo kuu la kongamano hili ni kujadili hatua za kisheria, historia ya matukio haya, na mikakati ya kuzuia na kuwajibisha wahusika, sambamba na kuangalia namna ya kuwasaidia waathirika na familia zao.
View attachment 3115940
Tukio hili ni la umuhimu mkubwa katika kulinda haki za binadamu na kupambana na vitendo vya upoteaji wa raia nchini.
View attachment 3115938
Kongamano linaanza rasmi saa 03:00 asubuhi na litakuwa mubashara kupitia uzi huu pamoja na Wakili TV kwenye YouTube kwa wale ambao hawawezi kuhudhuria.​
Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi Mariam Othman akifanya ufunguzi na kuwakaribusha wageni waalikwa katika kongamano la kujadili "Matukio ya kupotea kwa Raia Nchini Tanzania"

View attachment 3115943
“Hatutakiwi kufanya uchaguzi tukiwa tumebeba bunduki, tunatakiwa kubeba ilani na karatasi ya kupigia kura”.- Raisi wa TLS, Wakili Boniphace Mwabukusi afanya ufunguzi wa mjadala juu ya Matukio ya Kupotea kwa Raia.​

#WakoWapi #TLSSymposium #UtekwajiNaUpoteaji

Hiyo kofia aliyovaa Mama Nkya inaitwaje🤣
 
Polisi mnamuelewa Madeleka?😆
 
Odemba: “kamanda Muliro, haki ya mtanzania ya kwanza ni haki ya kuishi, kwanini wananchi wa tanzania wanapotea hasa dar es salaam? Kazi imekushinda

Kaaah😂😂​
 
"...kila tukio ni tume, ilikuwa ni miradi ya watu seri..." akakwepa kumalizia kuhofia kutumbuliwa jioni ya leo
 
Haya yamesema na Rais wa TLS mh Boniface Mwabukusi, leo.
Maoni yangu tunatanka viongozi kama hawa waendelee kuepo kutoa elimu ya uraia ndani ya inchi yetu penda.
 
Nani kaaribu speech ya rais tena jaman😂. Izo recommendation mbona azieleweki🤦🏽‍♂️.​
 
(LIVE VIDEO IPO CHINI)

Leo tarehe 5 Oktoba 2024, mawakili wote wa Tanzania bara, hasa wa jijini Dar es Salaam, wanakutana katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam, ili kujadili suala la utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania. Tukio hili la kitaifa linaandaliwa na Tanganyika Law Society (TLS) na limehudhuriwa na wanachama wa TLS pamoja na wageni waalikwa kutoka taasisi mbalimbali.
Lengo kuu la kongamano hili ni kujadili hatua za kisheria, historia ya matukio haya, na mikakati ya kuzuia na kuwajibisha wahusika, sambamba na kuangalia namna ya kuwasaidia waathirika na familia zao.
View attachment 3115940
Tukio hili ni la umuhimu mkubwa katika kulinda haki za binadamu na kupambana na vitendo vya upoteaji wa raia nchini.
View attachment 3115938
Kongamano linaanza rasmi saa 03:00 asubuhi na litakuwa mubashara kupitia uzi huu pamoja na Wakili TV kwenye YouTube kwa wale ambao hawawezi kuhudhuria.​
Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi Mariam Othman akifanya ufunguzi na kuwakaribusha wageni waalikwa katika kongamano la kujadili "Matukio ya kupotea kwa Raia Nchini Tanzania"

View attachment 3115943
“Hatutakiwi kufanya uchaguzi tukiwa tumebeba bunduki, tunatakiwa kubeba ilani na karatasi ya kupigia kura”.- Raisi wa TLS, Wakili Boniphace Mwabukusi afanya ufunguzi wa mjadala juu ya Matukio ya Kupotea kwa Raia.​

#WakoWapi #TLSSymposium #UtekwajiNaUpoteaji

Thank you very Much TLS.

Public awareness and concerns ni muhimu sana.

Move kama hii inatakiwa kuwa supported na Government ili kuongeza uelewa kwa jamii na Raia juu ya maswala haya.
 
Wakiendelea kuwa wazalendo hivi watapigwa marufuku. Rais hapendi watu watumie akili
 
Back
Top Bottom