johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wakishateuliwa!
pakaywatek , hilo ndio hitimisho la TLS. Unakubaliana nalo?11. Usomaji wa pamoja wa ibara ya 51(2) na ibara ya 57(2)(e) unatufanya tuseme, kwa kujiamini kabisa, kuwa mara tu baada ya Raisi kuapishwa kuwa Raisi anatakiwa kumteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14 tokea kuwa kwake Raisi. Waziri Mkuu aliyepo wadhifani anahesabika kutokuwa Waziri Mkuu na hivyo Baraza la Mawaziri linakuwa limevunjika kutokana na Waziri Mkuu kutokuwepo “kwa sababu nyingine yoyote”. Sababu nyingine yoyote ni “kufariki kwa Raisi aliyemteua na kusimikwa Raisi mpya ambaye siye aliyemchagua.”
Nikafikiri unaweka vifungu kumbe unaleta ngonjera.
Mna shida sana nyie watu
Bado unauliza maswali yako ya kipimbi? Kwa hiyo kama kuna wengi wameteuliwa na rais ndio ndio unahalalisha baraza la mawaziri? Mods hebu pigeni life ban hii pimbi inatuchefua tu hapa.Kwanini hivyo vipengele mnavyotaka vitumike ni kwa mawaziri tu wakati kuna wengi tu wameteuliwa na rais na kuapa mbele yake?
Havunji, linavunjika tu kwa PM kupoteza wadhifa wake. Kama nimewaelewa TLSUtawala wa Huyu Rais haujakamilika kwa sababu hana makamu wa Rais ndiyo maana katiba inamtaka ndani ya siku 14 hawe ameteua makamu wa Rais. Hawezi vunja baraza kwa ssbabu inatakiwa ashauriane na makamu wake kuhusu waziri mkuu mpya hivyo baraza bado ni halali.
Achana na hiyo pimbi itakuchosha bure.Nikuwekee kifungu kwani mimi ni Jebra Kambole au Jaji Mkuu? Ungeweka kifungu ww nione utetezi wako uliojikita kwenye vifungu. Wataalamu wa sheria ni nafasi yao kutaja vifungu, mimi nadeal na fani nyingine huo muda wa kujua katiba kila kifungu kwa kichwa nautoa wapi? Kama makamu wa rais alitangaza hapo mwanzo kuwa maombolezo ya rais ni siku 14, lakini leo kabidili kuwa siku 21 kuendana na katiba baada ya kuambiwa na wanasheria, ndio itakuwa mimi na vifungu vya katiba?
Baadhi ya sheria huwa zinasomwa kwa pamoja ili ziweze kufafanua jambo.We umezungumzia kiapo wanachoapa.
Ni wapi kwenye katiba ambapo panasema Rais aliyepo madarakani akikoma kuwa Rais basi baraza la mawaziri nalo linavunjika automatically?
Nilikua namjibu tindo alitaka niweke caption ya waziri mkuu ndiye mwenyekiti wa mazishi ya viongozi, kukujibu katiba haisemi wakiwa wameteuliwa na Rais was zamani hau mpya, ndiyo maana nikasema hii katiba ipo kama biblia inaenda mbele inarudi nyuma.Wakishateuliwa!
Hiyo ni tafsiri yao.hawajasema wakati waziri mkuu anateuliwa ndani ya siku 14 makamu wa Rais yeye yupo wapi!pakaywatek , hilo ndio hitimisho la TLS. Unakubaliana nalo?
Kwa hiyo unataka niibebe yote nikupe? nipe mda nakuletea sehemu yote inayoongelea mazishi ya viongozi.Mkuu kwanza nikupongeze wangalau kwa kuleta hata hii evidence. Hata hivyo hivyo vipande vya sheria vimebase kwenye viongozi wa kitaifa, nataka sehemu specific ya kamati za mazishi ya kitaifa ya rais aliyeko madarakani. Sibezi jitihada zako maana nimeona kabisa umekuja na kitu, japo bado hakijalenga vizuri kwenye mada inayobishaniwa. Big up sana.
Mkuu Nyani Ngabu,Well, hiyo katiba inasema waziwazi kuwa endapo Rais aliyepo madarakani anaacha kuwa Rais kwa sababu yoyote ile, ikiwemo kifo, basi baraza la mawaziri nalo linavunjika?
Manake kama haisemi waziwazi, inaacha mwanya wa kutafsirika ki namna mbalimbali.
Mambo kama hayo inapaswa yatamkwe waziwazi na katiba pasipo kuacha mwanya au mianya ya tafsiri.