Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ndio maana tunataka katiba mpya.Sasa what’s the point ya kuwa na makamu wa Rais then kama siyo muendelezo wa serikali iliyopo madarakani endapo Rais aliyepo madarakani ataacha kuwa Rais?
Makes no sense at all.
Sasa kwa nini huwa tuna makamu wa Rais?Rais anateua Mawaziri ili wamsaidie. Kama Rais aliyewateua hayupo ina maana nao hawana mtu wa kumsadia unless huyo aljaye awahitaji na awateue rasmi.
Muulize mbona Magufuli kwenye awamu ya pili alichagua mawaziri wapya akawaapisha lakini wengineo km wakuu wa mikoa na wilaya aliwaambie waendelee na kazi?Nikueleze vifungu mimi ni mwanasheria, kama ww ni mwanasheria nitajie kufungu kinachowalinda hao mawaziri.
Yaani upuuzi puuzi tu.Ndio maana tunataka katiba mpya.
Wewe usiyejitambua umeona wa wametoa kitu cha maana sana wakati ni utopolo tu. Waulize Baraza la Mawaziri lilivunjwa lini? Baraza huvunjwa kwa mujibu wa sheria siyo blabla za wanaharakati wa Baraza la TLS. Waambie pia wasome kifungu hiki hapa chini.
View attachment 1729711
Leo tarehe 19 March 2021 aliyekuwa Makamu wa Rais ambaye ni rais "mteule" kikatiba baada ya kufariki kwa Rais John Pombe Magufuli ameapa kushika kiti chake . Na huyo aliyeapa kushika kiti ni Mh. Rais Samia Suluhu Hassan. Na ina maana aliyekuwa ameshika nafasi ya Waziri Mkuu wakati wa John Magufuli, utumishi wake umekoma.Hapa 51. 3 (a) Siku Rais Mteule ataapa kushika kiti chake.
Chukua na hichi kipande uone waziri mkuu wadhifa wake unaisha liniView attachment 1729720
Baraza la mawaziri ni sehemu ya urais ndio maana Rais akifa na lenyewe linakufa automatically.Kama kiapo hakikaimishwi...maana yake viongozi wote walioapa kwa rais aliyepita wataapa tena?,au ni kwa mawaziri tu kiapo ndo hakikaimishwi?
Kwi Kwi Kwi , Nashauri hilo jina unalotumia lianze na herufi SKweli wewe ni mwanasheria uliyebobea siyo mwanaharati. Hao Baraza la TLS wametoa tafasiri ya kianaharakati siyo kiwanasheria. Ni aibu kubwa sana kwa TLS wametoa intepretation ya mwanafunzi wa sheria kabisa aliye fail.
Rais akifariki ama akishindwa kutekeleza majukumu ya urais, Rais anaye take over halazimishwi kuvunja baraza la mawaziri na kuunda jipya bali ni discreation yake kuendelea na baraza ama la. Kwa hiyo atatumia utaratibu wa kawaida wa uteuzi wa viongozi. Lakini hawa TLS wamepotosha pia wao kwa mujibu wa TLS Act wanatoa ushauri na wala siyo kama walivyoeleza kwenye barua yao.Kwa mara ya kwanza leo umechangia nikakuelewa. Sasa usichoke, unaweza kuweka vifungu specific kuhusu utaratibu ukoje iwapo rais aliye madarakani anafariki? Hao TLS kama ni wanaharakati ama la hiyo ni mada nyingine. Hebu tutoe kwenye hili kwanza kisha hasira zako dhidi ya TLS utazionyesha tu.
Sheria hazisomwi hivyo umeona hayo maneno au? Yana maana kubwa sana!Leo tarehe 19 March 2021 aliyekuwa Makamu wa Rais ambaye ni rais "mteule" kikatiba baada ya kufariki kwa Rais John Pombe Magufuli ameapa kushika kiti chake . Na huyo aliyeapa kushika kiti ni Mh. Rais Samia Suluhu Hassan. Na ina maana aliyekuwa ameshika nafasi ya Waziri Mkuu wakati wa John Magufuli, utumishi wake umekoma.
Hivyo itabidi Rais Samia Suluhu Hassan afuate utaratibu wa kujaza nafasi za wazi za Makamu wa Rais na pia kujaza nafasi ya Waziri Mkuu kama katiba inavyotaka.
Na baada ya hapo Rais Samia Suluhu Hassan pia atafuata utaratibu wa kuteua baraza la mawaziri kwa kushirikiana na waziri Mkuu aliyemuapisha hapo awali.
Ccm ni ileile, na Ina wenyewe.Watafuata katiba?
Baraza la mawaziri halivunjwi uwanjani Bali kikaoni Kama ilivyo bunge huvunjwa mjengoniRais mwenyewe leo amekubali kuingia kwenye kikao cha baraza la mawaziri, na Rais huyo huyo mwanzo alitangaza siku 14 za maombolezo badala ya 21 zinazotambulika kisheria.
Hata wasaidizi wake nao wanaonekana bado wamelala, hawajui kama tupo kwenye utawala mwingine.