Leo tarehe 19 March 2021 aliyekuwa Makamu wa Rais ambaye ni rais "mteule" kikatiba baada ya kufariki kwa Rais John Pombe Magufuli ameapa kushika kiti chake . Na huyo aliyeapa kushika kiti ni Mh. Rais Samia Suluhu Hassan. Na ina maana aliyekuwa ameshika nafasi ya Waziri Mkuu wakati wa John Magufuli, utumishi wake umekoma.
Hivyo itabidi Rais Samia Suluhu Hassan afuate utaratibu wa kujaza nafasi za wazi za Makamu wa Rais na pia kujaza nafasi ya Waziri Mkuu kama katiba inavyotaka.
Na baada ya hapo Rais Samia Suluhu Hassan pia atafuata utaratibu wa kuteua baraza la mawaziri kwa kushirikiana na waziri Mkuu aliyemuapisha hapo awali.