mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hawana ubavu wa kukutupia mawe!! Sana Sana wanatafuta mahali pa kuficha nyuso zao!! Umewapiga ngumi puani!!Napinga mwongozo huu uliotolewa na TLS, ingawa mimi si mwanasheria nahisi wameisoma hiyo katiba kwa kuharakisha, na wana bias....
Heshimu wakubwa wakoMkuu ni mambo tu mkuu!! Ni kweli I'd hiyo ni juzi lkn huwenda nipo hapa miaka mingi kulikoni wewe mkuu,
Hana mamlaka ya kisheria ya kutoa mwongozo kwa serikali. Kutoa mwongozo ni jukumu la mwanasheria mkuu wa serikali.Asante kwa muongozo.
Weka reference ya usemayo kikatba ili na ss Laymans tueleweNapinga mwongozo huu uliotolewa na TLS, ingawa mimi si mwanasheria nahisi wameisoma hiyo katiba kwa kuharakisha, na wana bias...
Hiyo ni katiba ya CHADEMA hata kama mawaziri wakibadilishwa bado ni wale wale kutoka chama kitukufu cha C C M Nendeni mkagombee Kenya kuna uchaguzi mwakani na demokrasia ya kumwaga mkishindwa sana Lissu atapata u-Governor wa NairobiMnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya kuendelea au kutoendelea kuwapo kwa Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Hayati Raisi John Magufuli...
1) katika hotuba yake fupi baada ya kuapishwa, Rais SS alim address kassimu kama waziri Mkuu.Kama nimeelewa vizuri kana kwamba kwa sasa hatuna Waziri Mkuu wala Baraza la Mawaziri! Naomba kusahihishwa tafadhali
Hawa TLS ni pumba kweli; sijui ni wanasheria gani hawa.Mmeanza kazi baada ya magufuli kufa?
Hiyo tabia ya kuamua tu "kugoma" bila sababu ni uhayawani uliokua unafanywa na utawala uliopita ilikuwa kitu cha kawaida Magufuli kukanyaga katiba sasa msiturudishe tulikotoka jamani.wacheni tupumuwe kidogo.Mfano akigoma Raisi kuunda baraza jipya TLS watamfanya nini cha maana
1) katika hotuba yake fupi baada ya kuapishwa, Rais SS alim address kassimu kama waziri Mkuu.
2) Baada ya hotuba hiyo alienda kuongoza kikao cha Baraza la mawaziri
Wamevunja katiba waziwazi wapi?
Katiba inasema endapo Rais aliyepo madarakani anakoma kuwa Rais basi na baraza la mawaziri nalo linavunjika papo hapo?
Kutokuwa makini ni utamaduni wetu watanzania. Kuanzia kuandika mpaka kufanya kazi. Sijui tumefikaje hapa. Watu ni wazembe wa kupiliza. Unajua nini? ukishindwa kuzingatia mambo madogo madogo (basics) makubwa pia huwezi. Makosa kwenye maisha yapo lakini yakizidi mno inakuwa ni uzembe.
Fatma karume anasema inatakiwa aanze kwanza kumteua mwansheria mkuu.Ukishasema hii ni serikali ya awamu ya 6 ina maana kuna mabadiliko ya serikali uliyoikuta. Ukirndeleza serikali ileile bila kuivunja inaonekana bado una kaimu Nafasi ya urais uliyemkuta....
Fatma karume anasema inatakiwa aanze kwanza kumteua mwansheria mkuu.
ngoja, mpewe chanjo mtatulia tu, mtakua wapole. mnajidai wajuaji sanaKwa mujibu wa muongozo wa TLS upo sahihi, waziri mkuu na baraza lote la mawaziri wanatakiwa kuteuliwa na kula kiapo mbele ya rais (aliye wateua).
Hivyo kwa sasa hakuna cha PM, waziri wala naibu waziri yoyote yule.
Sent using Jamii Forums mobile app