chungachungu
Member
- Dec 31, 2020
- 56
- 30
Nani kakudanganya kuwa Mama SSH alikuwa Rais Mteule baada ya Kifo cha Rais? Unajua maana ya Rais Mteule au President Elect?Kiapo cha VP siyo kiapo cha President, ni viapo viwili tofauti kabisa
Katiba ibara ya 51(3)(a) inatamka wazi kuwa Waziri mkuu ataendelea kuwa waziri mkuu mpaka pale raisi mteule atakapokula kiapo chake cha urais.
Sasa aliyekuwa rais mteule baada ya kifo cha rais aliyeko madarakani jana kala kiapo, hii maana yake nafasi ya PM iko wazi and hence baraza zima la mawaziri halipo kwa sababu za kikatiba zinazosema kuwa pasipokuwepo na waziri mkuu basi hakuna baraza la mawaziri
Tuwekeeni humu picha za viongozi wa TLS...wanatumiwa tu hawa na power mongersTLS wanaipotosha jamii na ni kwa makusudi. Wanakuwa ni taasisi yenye kuitia aibu tasnia nzima ya sheria.
Mama Samia hana ulazima wa kuvunja baraza kwani mazingira sio yale ya baada ya uchaguzi kuwa umemalizika bali ni mazingira ya kifo na yeye kulazimika kuvaa viatu vya rais.
Hahitaji hata kuvunja baraza lake ni suala la kuangalia waziri gani anayeshindwa kutimiza malengo aliyopewa na kuchagua mwingine.
Wanasheria wetu wanawafanyia kazi watu fulani fulani wenye nia zao za miaka mingi tu.
Kwani raisi anashindwa kuteua wote wapya?Pale chama cha wanasheria kinaposhindwa kutafsiri Sheria. Kwaio kama baraza la mawaziri lilioachwa na raisi Magufuli ni batili vipi kuhusu mwanasheria mkuu wa serikali, jaji mkuu na viongozi wengine wa serikali walioteuliwa na mheshimiwa wakati wa uhai wake Je na wao wateuliwe wengine.
Wakati mwingine tunapata mashaka juu ya vyama hivi vya kisomi ni kweli vina manufaa kwa nchi kama mnashindwa kutafsiri hata jambo dogo hilo
Halafu uwe ushauri mzuri pia, siyo hii crap! TLS wamejiangusha sana kwa kuandika pumba hizi.TLS nawaheshimu Ila nilikuwa niwape tusi.
Kazi ya TLS sio kutoa muongozo Bali ni kushauri
Na wewe rudi uwani ukamalize mambo ya gesi ya tumboni huko kabla hujaingia kwenya umma!Sifa mojawapo ya uhai wa baraza la mawaziri kufikia kikomo ni pale mtu mwingine anapoapishwa kuwa rais wa nchi including mwanasheria mkuu wa serikali. Hakika hatuna baraza la mawaziri wala mwanasheria mkuu wa serikali. Alitakiwa ateuwe mwanasheria mkuu the same day baada ya kiapo.
Kwa kifupi baraza la mawaziri limevunjika lenyewe !Halafu uwe ushauri mzuri pia, siyo hii crap! TLS wamejiangusha sana kwa kuandika pumba hizi.
Na wewe ni mmojawapo wa wanachama wa TLS waliosoma sheria lakini wasiojua kutafsiri na kuelewa sheria! Primary School Lawyers!!!Kwa kifupi baraza la mawaziri limevunjika lenyewe !
Mimi siyo mwanasheria lakini nafahamu huwezi kuwa na baraza la mawaziri bila Rais.Na wewe ni mmojawapo wa wanachama wa TLS waliosoma sheria lakini wasiojua kutafsiri na kuelewa sheria! Primary School Lawyers!!!