Vipi kuna mnong'ono umeupata ya kuwa ama wewe, Mbowe, Mnyika watakuwa Makamu wa rais au labda kwenye baraza Jipya lá mawaziri pindi hili lililopo likivunjwa?Hakuna ujanja ujanja
Hatutathubutu kujiunga na WatesiVipi kuna mnong'ono umeupata ya kuwa ama wewe, Mbowe, Mnyika watakuwa Makamu wa rais au labda kwenye baraza Jipya lá mawaziri pindi hili lililopo likivunjwa?
Hapo ndipo ilipo hofu ya Mwigulu kutemwaNgoja niisome taratibu!
Nilichoelewa ni kwamba hadi sasa hatuna baraza la mawaziri kwa sababu hawa akina Mwigullu Nchemba waliapishwa na Rais Magufuli ambaye ni marehemu kwa sasa!
Bila shaka na msaliti mzee wa MIGA Tundu Lisu atakuwa kwenye baraza jipya la mawaziri.Safi sana TLS kwa mwongozo, nina imani Mh. Rais Samia atafanya mabadiliko kadhaa ndai ya baraza lake jipya ili kuleta msawazo wa mawaziri kwa kuzingatia jinsia,dini,kaila, mikoa na bila kusahau Muungano wetu na ndugu zetu wazanzibar!
Inakosa maana baraza la mawaziri kuwa kujaza watu wa kutoka kabila moja au kanda moja au kujaza watanganyika watupu wakati baraza hilo linaitwa la Jamhuri ya Muungano!
Tena akithubutu kufaya hivyo atakuwa amejiwekea mazingira mazuri ya kupita mwaka 2025 maana upinzani utapungua, Tazama Zanzibar hivi sasa kuna mshikamano sana hata kabla Maalim Seif hajafariki yoteilitokana na kuundwa kwa serikali ya mseto!Bila shaka na Tundu Lisu atakuwa kwenye baraza jipya la mawaziri.
Hivi unajua kipindi Hayati yupo ata mapumzikoni Makamo wa Rais ambaye kwasasa ni Rais alikuwa anaendesha Baraza la Mawaziri?Mimi siyo mwanasheria lakini nafahamu huwezi kuwa na baraza la mawaziri bila Rais.
Saa na dakika aliyofariki Rais Magufuli na Baraza la mawaziri lilivunjika muda ule ule.
Huwezi kusema huyu mtu kafa lakini mkono wake utaendelea kuishi!
Mapumziko siyo kufa bwashee!Hivi unajua kipindi Hayati yupo ata mapumzikoni Makamo wa Rais ambaye kwasasa ni Rais alikuwa anaendesha Baraza la Mawaziri?
Kwa tafsiri yako, ni kuwa Rais akifa basi hata jaji mkuu anapoteza haki yake pia, kwa vile huyo pia huchaguliwa na rais.Mimi siyo mwanasheria lakini nafahamu huwezi kuwa na baraza la mawaziri bila Rais.
Saa na dakika aliyofariki Rais Magufuli na Baraza la mawaziri lilivunjika muda ule ule.
Huwezi kusema huyu mtu kafa lakini mkono wake utaendelea kuishi!
Tatizo lako huelewi maana ya Rais.Kwa tafsiri yako, ni kuwa Rais akifa basi hata jaji mkuu anapoteza haki yake pia, kwa vile huyo pia huchaguliwa na rais.
Halafu pia inaonekana huelewi kuwa Baraza la Mawaziri lina uwezo wa kumwondoa rais madarakani.
Kwa tafsiri yako hiyo, iwapo baraza la mawaziri ni sehemu ya Rais basi kifungu hiki cha katiba hakina maana yoyote. Je utakuwa unatetea katiba gani wewe? U sehemu ta TLS?Tatizo lako huelewi maana ya Rais.
Baraza la mawaziri ni sehemu ya Rais!
Kwi Kwi KwiNatumai katika jambo hili, Rais atafuata matakwa ya katiba
Wananchi tulipiga kura kuchagua serikali ya awamu ya 5Kama wote tunakubaliana kuwa hii ni Selikari ya awamu ya sita basi ni wazi hata baraza la mawaziri linatakiwa kuundwa upya kwa maana la awamu ya tano limevunjika punde baada ya kuapishwa kwa Rais mpya.
Katiba inasemaje?Natumai katika jambo hili, Rais atafuata matakwa ya katiba
Vipi kaifata katiba?Yule mama Ni mwelewa Sana..naimani atafata katiba