TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

Mliingizwa Chaka na hao TLS. Kubalini kuwa hao TLS na nyie mna mihemko sana

Sheria ni jambo moja hapa kwetu, na utekelezaji ni jambo jingine. Hili huhitaji akili kubwa kulifahamu.
 
Kisheria nipo na TLS. Mama nipo naye kinafiki ndani ya hizi siku 100 za mwanzo, maana naye ni sehemu ya mchakato haramu wa majizi ya kura.
Upo na TLS? We jamaa bana, kubali tu kuwa hao TLS waliwaingiza Chaka na Wana mihemko Sana. Katiba yenyewe hawaijui vizuri alafu wanakurupuka kutoa waraka
 
Sheria ni jambo moja hapa kwetu, na utekelezaji ni jambo jingine. Hili huhitaji akili kubwa kulifahamu.
TLS wamekosea Sana na imetia doa hiyo taasisi. Hawajui hata kutafsiri katiba
 
Upo na TLS? We jamaa bana, kubali tu kuwa hao TLS waliwaingiza Chaka na Wana mihemko Sana. Katiba yenyewe hawaijui vizuri alafu wanakurupuka kutoa waraka

Ww ndio unaamini serikali iko sahihi kwa ajili nya mihemko. Sisi wengine tunajua serikali inaamua itakavyo.
 
Unafiki ndio chanzo cha wewe kuwa duni

Nasema hivi, ccm ni majizi ya kura, na Mungu kwa kujusma tabia ya ibilisi aliyekuwa akiongoza nchi kwa shuruti, akaamua kufanya mabadiliko bila kumwaga damu fullstop.
 
Ndo waliokupa elimu hao kujakuwakosoa [emoji4]
 
Ww ndio unaamini serikali iko sahihi kwa ajili nya mihemko. Sisi wengine tunajua serikali inaamua itakavyo.
Naona Leo kinyonge Sana, mmeingizwa Chaka na Kama kawaida yenu ya unyumbu mmeingiaa wazimawazima
 
Unyonge niutoe wapi? Yaani mimi naamini wataalamu, na sio hao wanaosema rais ni mzima yuko ofisini anachapa kazi.
 
Back
Top Bottom