TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

Ndio ushangae Sasa chama Cha wanasheria hakijui kutafsiri Sheria. Wana mihemko balaa
Walipaswa waome katiba watafsiri vizuri, tatizo wao wamekurupuka na hoja zao bila kuangalia kwa undani kuhusu katiba
 
Wanaendeshwa na mihemko, hapo si ajabu kuna mwanasiasa ndio aliwaingiza Chaka. Nao Kama wanasheria wakakurupuka
 
Mhhhhhh!!!!!
 
Kakuongopea Nani? Hujaona kama Leo mmeumbuka?
Mtaalam tusubiri,Mimi Nina katiba hapa nasoma narudia waraka wa TLS na kuisoma katiba Mara kadhaa, Nime baini TLS wapo sahii.nipo tayari kukosolewa.karibuni kwa mjadala.
 
Weka kipengele ambacho hakijafuatwa
 
Hapa TLS wamepuyanga Katiba ipo kimya kuhusu linapotokea janga la kifo Kwa rais aliye madarakani basi makamu akichukua wadhifa wa urais anahitajika kuunda Baraza jipya la mawaziri. Hakuna kifungu chochote cha Katiba kinachozungumzia suala hilo.
 
Huu Uzi unahusu uhalali wa waziri mkuu na mawaziri kutoka kwa hayati rais JPJM kuja kwa rais SSH. Na siyo uhalali wa uchaguzi

Hakuna uhalali wowote wa majizi ya kura. Hao ni viongozi haramu fullstop.
 
Hapa TLS wamepuyanga Katiba ipo kimya kuhusu linapotokea janga la kifo Kwa rais aliye madarakani basi makamu akichukua wadhifa wa urais anahitajika kuunda Baraza jipya la mawaziri. Hakuna kifungu chochote cha Katiba kinachozungumzia suala hilo.
Wamepuyanga Sana siyo kidogo
 
Mtaalam tusubiri,Mimi Nina katiba hapa nasoma narudia waraka wa TLS na kuisoma katiba Mara kadhaa, Nime baini TLS wapo sahii.nipo tayari kukosolewa.karibuni kwa mjadala.
Wapo sahihi wapi? Baraza halijavunjwa, hivyo hao TLS waombe radhi kwa kuongopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…