TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

Lakini ndo viongozi wako na pia ni viongozi wa viongozi wako

Ni kweli, hata makuburu wa Afrika kusini walikuwa viongozi wa weusi kwa shuruti, na sio kwa ridhaa ya wengi.
 
Ni kweli, hata makuburu wa Afrika kusini walikuwa viongozi wa weusi kwa shuruti, na sio kwa ridhaa ya wengi.
Hakuna kiongozi ambaye anaweza kuchaguliwa na wote Duniani
 
Mfano mwiguli nchemba kahamishwa wizara.lakini kesho ataapa tena.kwanini asiendelee nakazi Bila kuapa?
Yule kabadilishwa wizara kwahiyo kwenye kiapo Kuna sehemu ambayo unataja nafasi utakakotumikia kwahiyo lazima aape maana alikuwa hajaapa Kama waziri wa fedha na mpango
 
Ni kweli, ndio maana inabidi wizi ufanyike.
Mbona kipindi hayati rais Magufuli alipokuwa haonekani hadharani mmemtambua kama raisi au Kuna uchaguzi wa marudio ulifanyika kisirisiri
 
Sawa mtaalam.samahani.
Pole kwa kukuita mjinga , Ila nilikuwa najua unajua kuwa waziri akihama wizara anaapa upya.
Hivyo mwigulu ni sahihi kuapa upya
Nimekuwekea mfano hapa chini, mahiga na kabudi walivyohalishwa wizara waliapa upya.
 
Yule kabadilishwa wizara kwahiyo kwenye kiapo Kuna sehemu ambayo unataja nafasi utakakotumikia kwahiyo lazima aape maana alikuwa hajaapa Kama waziri wa fedha na mpango
Wengi humu hawajui kitu kabisa
 
Mbona kipindi hayati rais Magufuli alipokuwa haonekani hadharani mmemtambua kama raisi au Kuna uchaguzi wa marudio ulifanyika kisirisiri

Hata wanaopindua nchi huwa ni marais.
 
Utaapa tu endepo utabadilishwa nafasi ya kiuongozi. Ila wanao salia na nafasi zao hawaapishwi upya. Mfano kuna wakuu wa wilaya, wakurugenzi, wakuu wa mikoa na vyeo vinavyo fanana na hivyo walirithi kutoka awamu zilizo tanguliwa na bado walitambulika kwa nafasi zao.

Ikiwa Waziri Mkuu atatakiwa kuapa basi teuzi zote za JPM kuanzia mawaziri, wakurugenzi, wanyeviti wa board na wote walioapa mbele yake wanavyeo batili.
 
Imagine unaandika yote haya kumbe UTUMBO MTUPU!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…