Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Ndio na wengine awatakiwi kurudi katika baraza lijaloNgoja niisome taratibu!
Nilichoelewa ni kwamba hadi sasa hatuna baraza la mawaziri kwa sababu hawa akina Mwigullu Nchemba waliapishwa na Rais Magufuli ambaye ni marehemu kwa sasa!
Katiba inasema endapo Rais aliyepo madarakani anakoma kuwa Rais basi na baraza la mawaziri nalo linavunjika papo hapo?Kutokuwa makini ni utamaduni wetu watanzania. Kuanzia kuandika mpaka kufanya kazi. Sijui tumefikaje hapa. Watu ni wazembe wa kupiliza. Unajua nini? ukishindwa kuzingatia mambo madogo madogo (basics) makubwa pia huwezi. Makosa kwenye maisha yapo lakini yakizidi mno inakuwa ni uzembe.
Mkuu, kama Waziri mkuu akifariki baraza linavunjika itakua Rais?Well, hiyo katiba inasema waziwazi kuwa endapo Rais aliyepo madarakani anaacha kuwa Rais kwa sababu yoyote ile, ikiwemo kifo, basi baraza la mawaziri nalo linavunjika?
Manake kama haisemi waziwazi, inaacha mwanya wa kutafsirika ki namna mbalimbali.
Mambo kama hayo inapaswa yatamkwe waziwazi na katiba pasipo kuacha mwanya au mianya ya tafsiri.
Haisemi chochote. Ila ukisoma huo ufafanuzi TLCS una mashiko japo pengine kunaweza kuwa na njia nyingine ya kuelezea hii issue.Katiba inasema endapo Rais aliyepo madarakani anakoma kuwa Rais basi na baraza la mawaziri nalo linavunjika papo hapo?
DOTTO BITEKO AU DOTTO JAMES maana kuna mtu anatakiwa kushughulikiwa hapaKile kilikuwa kikao cha washauri siyo baraza la mawaziri, kule ndani nilimuona Dr. Abbas, Dotto na wengine
Waziri mkuu ni jambo jingine. Katiba ikon clear kabisa kuwa waziri mkuu akiondoka/akiondolewa na baraza linavunjika. Hili la rais halina kifungu kama cha waziri mkuu. Ila nadhani ufafanuzi wa TLS uko sahihi.Mkuu, kama Waziri mkuu akifariki baraza linavunjika itakua Rais?
Mama Samia ni Rais wa Awamu ya Sita haendelezi awamu ya 5, sasa kwanini aendeleze serikali ya awamu ya 5?
Ofcoz kama anataka kuendelea na baraza hilihili anapaswa kumteua tena Majaliwa na hao mawaziri upya.
Mbona kuna mantiki hapa bila ukakasi?
Sawa kabisa mkuu hii iko very clear bila cheengaMkuu, kama Waziri mkuu akifariki baraza linavunjika itakua Rais?
Mama Samia ni Rais wa Awamu ya Sita haendelezi awamu ya 5, sasa kwanini aendeleze serikali ya awamu ya 5?
Ofcoz kama anataka kuendelea na baraza hilihili anapaswa kumteua tena Majaliwa na hao mawaziri upya.
Mbona kuna mantiki hapa bila ukakasi?
See!Haisemi chochote. Ila ukisoma huo ufafanuzi TLCS una mashiko japo pengine kunaweza kuwa na njia nyingine ya kuelezea hii issue.
Wangeweka wazi na kuhusu Rais.Waziri mkuu ni jambo jingine. Katiba ikon clear kabisa kuwa waziri mkuu akiondoka/akiondolewa na baraza linavunjika. Hili la rais halina kifungu kama cha waziri mkuu. Ila nadhani ufafanuzi wa TLS uko sahihi.
Yaani kwa Sasa Majaliwa hatakuwa na usingizi mnono kama kawaida especially kama alikuwa anajiona na mkubwa kuliko Makamu.Kwa mujibu wa muongozo wa TLS upo sahihi, waziri mkuu na baraza lote la mawaziri wanatakiwa kuteuliwa na kula kiapo mbele ya rais (aliye wateua).
Hivyo kwa sasa hakuna cha PM, waziri wala naibu waziri yoyote yule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Pengine huyu mama atasikiliza kilio cha katiba mpya na uchaguzi ujao tutakuwa nayo. Mradi tu asikubali kusikiliza ''makombo ya Magufuli'' yaliyobaki. Na aanze kuifumua TISS yote. Ni aibu sana kumwacha rais kufa kwa covid wakati ishara zilikuwa wazi kabisa baada ya wasaidizi wake wa karibu kufa. Magufuli alikuwa mjeuri lakini ni nini kazi ya TISS?See!
Inapaswa iseme waziwazi. Hakuna ugumu wowote ule kuliweka hilo waziwazi.
Hakuna haja ya tafsiri wala miongozo kwenye mambo mepesi kama hayo.
Weka mambo waziwazi. Basi.
Hii katiba yetu sijui iliandikwa na nani tu? Ina mapungufu kibao.
Sasa hapo leo mtu anaweza kweli kumshutumu Mama Samia kuwa kavunja katiba?
Sidhani.
Msigwa hakuongea ukweli mbele ya kadamnasi kuualifu imma kuwa muheshimiwa rais anakwenda kuendesha kikao Cha Baraza la mawaziri ikiwa hoja yako Ni kweliLile siyo Baraza la Mawaziri. Ni kikao tu cha marafiki. Ndiyo maana kina Abbas alihudhuria wakati siyo wajumbe wa Baraza