Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hiki cha leo ni kama kikao cha kupiga stori tu maana as long as the PM is not legit basi hakuna baraza la mawaziriAsante TLS kwa kutoa ufafanuzi huu. Kama nimeelewa vizuri andiko hili, Ina maana kikao Cha leo alichoendesha Mh. Madame President na Baraza la mawaziri baada ya Kula kiapo Ni batili? Yaani null and Void. TLS please fafanua hili.
Iko hivi
1.Raisi akila kiapo cha uraisi waziri mkuu anaacha kuwa waziri mkuu immediately-Rejea Magufuli alipoapishwa the second time, siku hiyo akamwambia PM kuwa siyo PM tena mpaka alipomwapisha tena some few days later (Kifungu kipo itafute kwenye katiba)
2.Na waziri mkuu akiacha kuwa waziri mkuu basi baraza la mawaziri linavunjika - rejea kujiuzulu kwa Lowasa kuliondoka na baraza lote la mawaziri, Kikwete alikuja kuliunda upya baada ya kumwapisha Pinda)
Kwa hiyo kuingia kwa Samia Suluhu Hassan, huyu ni Rais Mpya na kiapo kipya.
Kwamaana hiyo basi mara baada ya Rais mpya kula kiapo Baraza la Mawaziri la zamani automaticaly linavunjika?? Kama ndivyo mbona mara baada ya Rais npya kula kiapo alikwenda kufanya kikao na Baraza la Mawaziri wa zamani?? Je kikao kile kilikuwa halali au batili??TLS kwa mara ya kwanza nimeona mmetekeleza wajibu wenu wa kisheria kwenye nchi hii. Mawaziri wote ikiwemo waziri Mkuu inabidi waambiwe, na wasiendelee kutokea kwenye nafasi zao kwani kwa sasa hakuna baraza la mawaziri. Nimemuona Majaliwa akiendelea kutambulishwa kama waziri Mkuu, wakati kikatiba hana uhalali huo. Tungekuwa na vyombo vya habari vinavyotekeleza wajibu wao walipaswa kulitangaza hili wazi wazi kuwa kwa sasa hakuna baraza la mawaziri, na waziri yoyote aliyekuwa kwenye baraza lililopita asiendelee kuingia ofisini au kutumia mali za ofisi kama gari nk, wakati hana uhalali huo.
Kwenye mazishi ya viongozi wa juu serikalini waziri mkuu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mazishi katibu wake ndiye katibu wa mazishi wajumbe ni waziri wa fedha wa bara na visiwani na baadhi ya mawaziri, hivyo kama katiba haiwatambui kama mawaziri na katiba hiyohiyo inawapa hayo majukumu ya kushughulika na maziko basi kwa upande huo katiba inahitaji marekebisho.
Asante mkuu endeleni kutuelimiaha Mambo haya ya katiba na sheriaHiki cha leo ni kama kikao cha kupiga stori tu maana as long as the PM is not legit basi hakuna baraza la mawaziri
Hawa TLS Wana ajenda yao!! Si uliona ameshaanza kutoa mwongozo wa kushughulika na corona wakati si eneo lake! Hawa ni majanga matupu. Watumie ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kutoa mwongozo wa kikatiba kuhusu namna ya kuanza mama yetu kwenye hukumu la Urais. Hawa TLS ni wanaharakati!Kwa maana hiyo hata hawa kina Pole pole walioteuliwa kuwa wabunge na rais Magufuli nao inatakiwa wasiwe wabunge tena?
Hapa hawa TLS inaonekana nao hawana wanachojua
Kwamaana hiyo basi mara baada ya Rais mpya kula kiapo Baraza la Mawaziri la zamani automaticaly linavunjika?? Kama ndivyo mbona mara baada ya Rais npya kula kiapo alikwenda kufanya kikao na Baraza la Mawaziri wa zamani?? Je kikao kile kilikuwa halali au batili??
Ni kweli hakuna panaposema wazi wazi, ila by implication ni hivyo. Hakuna baraza la mawaziri bila waziri mkuu!!Sawa.
Lakini hakuna mahali panaposema waziwazi kuwa rais mpya akila kiapo basi baraza zima la mawaziri nalo linavunjika, siyo?
Umenielewa?
Kaa pembeni,wewe hujui lolote,acha wenye akili wanyooshe mamboWachumia tumbo mumeanza
Rais ni taasisiKatiba inasema endapo Rais aliyepo madarakani anakoma kuwa Rais basi na baraza la mawaziri nalo linavunjika papo hapo?
Kwa maana hiyo hata hawa kina Pole pole walioteuliwa kuwa wabunge na rais Magufuli nao inatakiwa wasiwe wabunge tena?
Hapa hawa TLS inaonekana nao hawana wanachojua
Duh, kweli upo makini, nami niliona kama hivyoHongereni TLS.
Nahisi ndio maana mh Rais alisita kidogo kumtaja majaliwa kama waziri mkuu wa Tz wakati anatoa heshima zake kwa viongozi wengine kabla ya hotuba yake kwa wananchi.