Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
Ni kwa mawaziri tu sababu rais asipokuwepo waziri mkuu cheo chake kinakoma na pia Baraza la mawaziri.Kama kiapo hakikaimishwi...maana yake viongozi wote walioapa kwa rais aliyepita wataapa tena?,au ni kwa mawaziri tu kiapo ndo hakikaimishwi?
Ndio maana term ya pili ya JPM aliwaruhusu wateule wengine waendelee ila alichagua waziri mkuu na Baraza jipya la mawaziri na kuwaapisha